
25/06/2025
Huko , , raisi wa heshima na seneta wa maisha, alizungumza na vijana, wanafunzi, wanaharakati wa raia, na washiriki wa makanisa ya uamsho ( église de réveil). Alizungumziya dhamira yake ya kuleta amani nchini CONGO , akitumia mapendekezo 12 aliyo yaeleza katika hotuba yake ya mwisho.
alitoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa kwa kuleta amani, kuunga mkono mfumo wa na , na kukaribisha kila Mkongomani kuchangia kwajili ya kuleta amani. Alisisitiza kuwa utulivu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi, akionya kwamba bila amani, inaweza kutoweka.
🇨🇩