LIMBA BOY

LIMBA BOY Comedian, Musician and Freedoom fighter from eastern of DRC 🇨🇩

🌍🇨🇩   : un sac de riz de 20 kg, coûte entre 64 500fc et 67 000fc soit 23$ sur les marchés de Kinshasa, et dans ta provin...
21/07/2025

🌍🇨🇩 : un sac de riz de 20 kg, coûte entre 64 500fc et 67 000fc soit 23$ sur les marchés de Kinshasa, et dans ta province combien coûte un sac de riz ??? 🇨🇩🌍

K**a na weye ulisha ona kwazile photo n'a ma vidéo zake tuambiye Na k**a bado sema😄😁
20/07/2025

K**a na weye ulisha ona kwazile photo n'a ma vidéo zake tuambiye Na k**a bado sema😄😁

Upewe 100$ wala ukule saani moja na  .Unaweza chagula Nini ??? 👇👇 😂
15/07/2025

Upewe 100$ wala ukule saani moja na .
Unaweza chagula Nini ??? 👇👇 😂

 🇨🇩: "lugha ya Kiswahili imekuwa zaidi ya lugha ya kawaida katika gereza za kijeshi la DEMIAP na gereza la Ndolo hapo  "...
14/07/2025

🇨🇩: "lugha ya Kiswahili imekuwa zaidi ya lugha ya kawaida katika gereza za kijeshi la DEMIAP na gereza la Ndolo hapo "
anasema , mfungwa ambaye ametoka katika gereza la na . "Takribani 70% ya maafisa wakuu nama Generali wa Jeshi Na polisi wanaofungwa hapo wanatoka katika majimbo yanayo zungumza Kiswahili k**a Kivu , Katanga , ituri Na Kisangani," aliongeza kwenye tweet Jumapili hii. "Nilikuwa nikijifunza Kiswahili kwa kuwasiliana Na wafungwa wenzangu ," alisema.

Selon   Dash 🇷🇼 sur son compte X 👇" Doha ♥️♥️♥️ Sud-Kivu et Nord-Kivu sous l'autorité de l'AFC/M23 Si rien ne change, le...
13/07/2025

Selon Dash 🇷🇼 sur son compte X 👇
" Doha ♥️♥️♥️
Sud-Kivu et Nord-Kivu sous l'autorité de l'AFC/M23 Si rien ne change, le 14 juillet 2025 pourrait voir les 10 meilleurs accords qui gouverneront le Congo en 4 ans. (Période d'essai) L'AFC/M23 peut littéralement ramener la paix dans l'est du Congo. Si ces négociations de paix échouent, Uvira, Walikale et Kisangani seront sous l'autorité de l'AFC/M23 dans quelques mois. "

Only God who appointed us will take it from  us not  , nor the  ."Our country must continue to strike fear in the heart ...
12/07/2025

Only God who appointed us will take it from us not , nor the .
"Our country must continue to strike fear in the heart of the white man, they're our real enemies,
We are not useless,
The land is ours. It is not and we have to take it and give it to the rightful people."

Au Congo, nous avons un gros problème. Si vous êtes dans la rébellion, vous êtes considéré comme un Rwandais. Si vous êt...
08/07/2025

Au Congo, nous avons un gros problème. Si vous êtes dans la rébellion, vous êtes considéré comme un Rwandais. Si vous êtes aussi dans l'opposition contre l'UDPS de Muluba Tshisekedi, vous êtes aussi un Rwandais, si tu es à Kigali t'es Rwandais, si t'es au Grand Kivu ( Goma, uvira,bukavu, kamituga, Baraka) les kinois t'appelle Rwandais mais si vous êtes un Munyamulenge qui soutient l'UDPS, vous êtes considérer un vrai Congolais 😂😂.
Tukimbiliye wapi ???

02/07/2025

[VIDEO] Askari wa M23 ampiga risasi mwizi hadharani katika , tarafa la Masisi, Kivu Kaskazini, TAZAMA ⏸️⤵️

Huko  ,  , raisi wa heshima na seneta wa maisha, alizungumza na vijana, wanafunzi, wanaharakati wa raia, na washiriki wa...
25/06/2025

Huko , , raisi wa heshima na seneta wa maisha, alizungumza na vijana, wanafunzi, wanaharakati wa raia, na washiriki wa makanisa ya uamsho ( église de réveil). Alizungumziya dhamira yake ya kuleta amani nchini CONGO , akitumia mapendekezo 12 aliyo yaeleza katika hotuba yake ya mwisho.
alitoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa kwa kuleta amani, kuunga mkono mfumo wa na , na kukaribisha kila Mkongomani kuchangia kwajili ya kuleta amani. Alisisitiza kuwa utulivu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi, akionya kwamba bila amani, inaweza kutoweka.

🇨🇩

Message mbili za mtoto wa Raisi wa Uganda Yoweri Museveni ajulikanaye k**a   ambazo zime wahacha watu wengi kunwa wazi n...
23/06/2025

Message mbili za mtoto wa Raisi wa Uganda Yoweri Museveni ajulikanaye k**a ambazo zime wahacha watu wengi kunwa wazi ni kwamba,
Jana tariki 22 / 06/ 2025, Jeshi la Ouganda limefanya kikao huko Kinshasa Na Raisi wa DRC Félix Antoine tshisekedi.

Baada ya icho kikao iyi ndo message aliyo chapisha kwenye ukurasa Wake wa X 👇👇

" Nataka kumshukuru H.E. Felix Tshisekedi na mwenzangu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo, Lt.Jenerali Jules Banza Mwilambwe kwa jinsi ujumbe wetu ulivyopokelewa Kinshasa. Nawapongeza wananchi wa Uganda na DRC kwa kuongeza muda wa Mkataba wa Operesheni Shujaa (Operesheni Shujaa) kati ya UPDF na FARDC katika kupambana na magaidi wa ADF huko Kivu Kaskazini na Ituri. "

Baada ya hapo , Leo tariki 23 ameposti picha ya kagame Na kushindikiza Na message iyi

" Bado wewe ni shujaa wangu , upendo uwepo "

Ivi unazani kikao icho kime usika kwa lengo gani zaidi Na kuwepo kwa Jeshi la Uganda (UPDF) kuna umuhimu gani kAtika inchi ya CONGO 🇨🇩 ?

20/06/2025

VIDEO] : Ma afisa hawa wa polisi wa traffic wenye ujasiri wanageuza Na kueudisha jeep na pikipiki za wakuu viongozi wa serekali ambazo zinaenda inje ya sheria ya barabara ijulikanayo k**a Boulevard du 30 JUIN pa Kinshasa.
sio haki kuwataka tymu watu wa kawaida kutii sheria za trafiki, huku mamlaka Na Jeshi zikifanya kinyume katika barabara mbalimbali za Kinshasa. TAZAMA ⤵️⏸️

😀Urisha Rerax njo ki kwetu, nanyie relax atari kabisa
20/06/2025

😀Urisha Rerax njo ki kwetu, nanyie relax atari kabisa

Address

Kisangani
Bujumbura

Telephone

+243997681261

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LIMBA BOY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LIMBA BOY:

Share