Pwani Trends Kenya

Pwani Trends Kenya PWANI TRENDS KENYA
The Pulse of Coastal Entertainment

πŸ“± WhatsApp: 0758 160 696
πŸ“ž Call: 0783 868 397
πŸ“§ Email: [email protected]
(1)

🎀πŸ”₯ KELECHI AFRICANA AMSHUKIA DOGO RICHY KWA MANENO MAKALIMsanii Kelechi Africana ameibua mjadala mtandaoni baada ya kumr...
13/07/2026

🎀πŸ”₯ KELECHI AFRICANA AMSHUKIA DOGO RICHY KWA MANENO MAKALI

Msanii Kelechi Africana ameibua mjadala mtandaoni baada ya kumrushia dongo Dogo Richy, akibeza muonekano wake na kudai kuwa kile ambacho wengi hudhani ni kitambi ni kitu kingine kabisa. Kauli hiyo imezua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wa muziki wa Pwani.

πŸ˜‚πŸ‘€ Je, Kelechi alikuwa anatania tu au amevuka mipaka? Tupe maoni yako kwenye comments.

πŸ•ŠοΈπŸ’” SIMANZI HGM BAADA YA KIFO CHA MZEE KARISAKifo kimeripotiwa leo cha Mzee Karisa, mkazi wa HGM, Kisumu Ndogo, Malindi....
13/07/2026

πŸ•ŠοΈπŸ’” SIMANZI HGM BAADA YA KIFO CHA MZEE KARISA

Kifo kimeripotiwa leo cha Mzee Karisa, mkazi wa HGM, Kisumu Ndogo, Malindi. Marehemu aliwahi kuhudumu k**a mzee wa mtaa wa eneo hilo, akichangia pakubwa katika kusuluhisha migogoro ya kifamilia na kuimarisha usalama wa jamii.

Kifo chake kimewaacha wengi katika majonzi wakikumbuka mchango wake mkubwa kwa jamii. Tunatoa risala za rambirambi kwa ndugu, jamaa na wakazi wote wa Kisumu Ndogo kwa kuondokewa na mzee wa hekima na maana katika jamii. 🀲





πŸŽ€πŸ˜‚ KELECHI AFRICANA AMCHEKEA KIDIZ KUHUSU STAILI YAKE YA UCHEZAJIMsanii Kelechi Africana ameendelea kuzua gumzo mitandao...
13/07/2026

πŸŽ€πŸ˜‚ KELECHI AFRICANA AMCHEKEA KIDIZ KUHUSU STAILI YAKE YA UCHEZAJI

Msanii Kelechi Africana ameendelea kuzua gumzo mitandaoni baada ya kumrushia dongo Kidiz, akibeza namna anavyocheza na kudai kuwa anayemfunza amtafutie staili nyingine kabla β€œmagoti hayajaharibika.”

🀣πŸ”₯ Kauli hiyo imewagawa mashabiki wa muziki wa Pwani; wengine wameiona k**a utani wa kawaida huku wengine wakimtetea Kidiz. Je, wewe unaionaje? Tuambie kwenye comments.

13/07/2026

πŸ“πŸ”₯ TAMBUA MTAA CHALLENGE!

Wale ambao hutembea maeneo mbalimbali ya Pwani, sasa kazi ni kwenu. πŸ‘€πŸŒ΄ Je, hii video ilichukuliwa sehemu gani?

πŸ˜„ Weka jibu lako kwenye comments pamoja na kaunti au mtaa unaodhani ni sahihi. Tuone nani ni fundi wa kutambua maeneo ya Pwani! πŸ‘‡

13/07/2026

πŸš¨πŸ’” GHOROFA LAPOROMOKA TWIGA BEACH, WATAMU

Jumba la gorofa limeripotiwa kuporomoka mapema leo katika eneo la Jacaranda, Twiga Beach, Watamu, na kuwafunika mafundi waliokuwa wakifanya kazi ndani.

😒 Mtu mmoja amethibitishwa kufariki dunia kutokana na mkasa huo huku shughuli za uokoaji wa wengine zikiendelea. Magari ya zimamoto ndiyo yameonekana kubeba waathiriwa kutoka eneo la tukio.





πŸ˜‚πŸ’” HUSNA PENDO AIBUA GUMZO KWA UJUMBE WAKE KUHUSU MAISHA NA PESAMuunda maudhui Husna Pendo amewaacha wengi wakicheka na ...
13/07/2026

πŸ˜‚πŸ’” HUSNA PENDO AIBUA GUMZO KWA UJUMBE WAKE KUHUSU MAISHA NA PESA

Muunda maudhui Husna Pendo amewaacha wengi wakicheka na kutafakari baada ya kusema kuwa siku hizi hata wazazi wanaweza kukupuuza ikiwa huna pesa, akiongeza kuwa β€œni dust side zote.” πŸ˜…

πŸ’ΈπŸ‘€ Je, unakubaliana na kauli ya Husna au anaongeza chumvi? Tuambie kwenye comments.

πŸš¨πŸ’” TAHARUKI IMETANDA TWIGA BEACH BAADA YA GHOROFA KUPOROMOKATaharuki imetanda katika eneo la Jacaranda, Twiga Beach, baa...
13/07/2026

πŸš¨πŸ’” TAHARUKI IMETANDA TWIGA BEACH BAADA YA GHOROFA KUPOROMOKA

Taharuki imetanda katika eneo la Jacaranda, Twiga Beach, baada ya ghorofa lililokuwa likijengwa kuporomoka asubuhi ya leo na kuwafunika mafundi waliokuwa wakifanya kazi ndani ya jengo hilo.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa kuna watu waliopoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, ingawa idadi kamili ya waliofariki na waliojeruhiwa bado haijathibitishwa rasmi. Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri tunavyopokea taarifa mpya kuhusu tukio hili.





🎀πŸ”₯ ANATAWALA GROUND, MITANDAO BADO HAIJAMJUA VYA KUTOSHA!Leo tunamzungumzia MC Nzima, mkazi wa Mongotini, Kakuyuni Ward,...
13/07/2026

🎀πŸ”₯ ANATAWALA GROUND, MITANDAO BADO HAIJAMJUA VYA KUTOSHA!

Leo tunamzungumzia MC Nzima, mkazi wa Mongotini, Kakuyuni Ward, Malindi, ambaye amekuwa akifanya kazi kubwa ya kuhamasisha jamii kupitia shughuli mbalimbali. Ingawa wengi hawamfahamu sana mitandaoni, wale wanaokutana naye ground wanaujua uwezo wake wa kuunganisha watu na kuleta matumaini pale ambapo yamepotea.

Mbali na kushiriki kwenye michango ya kijamii, MC Nzima amekuwa mstari wa mbele kusimamia na kuongoza shughuli mbalimbali za kijamii kwa uhodari mkubwa. πŸŽ™οΈπŸ‘

⭐ K**a umewahi kushiriki shughuli iliyoendeshwa na MC Nzima, tupe rating yake kati ya 1–10 na utuambie experience yako naye kwenye comments.





🚨πŸ”₯ PWANI, JIANDAENI! NGOMA MPYA INAKUJA!Msanii chipukizi wa muziki wa bango, Mzungu, ameamua kuingia studio na mtu mzito...
13/07/2026

🚨πŸ”₯ PWANI, JIANDAENI! NGOMA MPYA INAKUJA!

Msanii chipukizi wa muziki wa bango, Mzungu, ameamua kuingia studio na mtu mzito, Timmy Boi, kwenye ngoma mpya inayokwenda kwa jina la β€œUNANIKANYA.” 😱🎢 K**a ulikuwa unadhani muziki wa bango umepoa, basi subiri tarehe hii!

πŸ“… 30 JULAI 2027 ndiyo siku rasmi ya kuachiliwa kwa wimbo huo. Je, Mzungu na Timmy Boi watatikisa game au bado hujawaamini? Tuachie maoni yako kwenye comments. πŸ”₯πŸ‘‡

πŸŽ‰πŸŽŠ PWANI TRENDS KENYA YAFIKISHA FOLLOWERS 2,000!Leo tunasherehekea hatua muhimu baada ya kufikisha followers 2,000. Tuna...
13/07/2026

πŸŽ‰πŸŽŠ PWANI TRENDS KENYA YAFIKISHA FOLLOWERS 2,000!

Leo tunasherehekea hatua muhimu baada ya kufikisha followers 2,000. Tunawashukuru sana kwa upendo, sapoti na imani mnayoendelea kutuonyesha kila siku. β€οΈπŸ™

Safari bado ni ndefu, na kwa pamoja tutaendelea kuwapa habari, burudani na matukio yanayogusa jamii yetu. Asanteni kwa kuwa sehemu ya familia ya Pwani Trends Kenya. πŸš€πŸ”₯





Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwani Trends Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share