25/06/2026
TEAM FADHEE EMBAKASI NORTH
SHA NA AFYA BORA KWA WASEE WA EMBAKASI NORTH
Wasee, serikali ya Kenya Kwanza imeweka mambo ya afya mbele kupitia Social Health Authority (SHA) ili kila Mkenya apate matibabu bila kuumia mfuko.
SHA IMESAIDIAJE WASEE WA EMBAKASI NORTH?
✅ Hospitali si ya wenye pesa pekee
Ukijiandikisha SHA, unapata huduma za afya bila kubeba mzigo mkubwa wa hospital bills.
✅ Mama Lucy Hospital imekuwa msaada mkubwa
Wasee wengi wa Dandora, Kariobangi na Embakasi North wanatibiwa hapo. Kupitia SHA, wagonjwa wengi wanapata huduma kwa urahisi na gharama ndogo.
✅ Dandora Health Centres zimeboreshwa
Huduma za kawaida k**a clinic, maternal health, chanjo za watoto na matibabu ya magonjwa ya kawaida zinapatikana karibu na wananchi.
✅ Mama na mtoto wanalindwa
Wajawazito wanapata huduma bora na watoto wanapata chanjo na matibabu mapema.
✅ Magonjwa sugu yanashughulikiwa mapema
Wale wenye pressure, diabetes na magonjwa mengine wanapata nafasi ya kufuatiliwa bila gharama kubwa.
HII INAENDANAJE NA AGENDA YA SERIKALI?
Serikali inalenga:
🔥 Afya bora kwa kila Mkenya.
🔥 Kupunguza hospital bills zinazoumiza familia.
🔥 Kupeleka huduma karibu na wananchi.
🔥 Kutumia technology kuboresha huduma.
🔥 Kujenga na kuboresha hospitali na health centres.
UJUMBE WA TEAM FADHEE EMBAKASI NORTH
Wasee wa Embakasi North, SHA si story ya siasa, ni story ya afya ya familia zetu.
Ukijiandikisha SHA:
✔ Unajilinda wewe na familia yako.
✔ Unapunguza stress ya kutafuta pesa za hospitali wakati wa dharura.
✔ Unasaidia kujenga Kenya yenye afya bora kwa kila mtu.
Jisajili SHA leo, linda familia yako kesho.
TEAM FADHEE EMBAKASI NORTH
"Tuko Ground, Tuko Kazi, Tuko na Mwananchi."