Butiama Cultural Tourism Enterprise (BCTE)

Butiama Cultural Tourism Enterprise (BCTE) The Butiama Cultural Tourism Enterprise (BCTE) is a community-based organization that promotes visits to Butiama, with historical and cultural attractions.

Entrance fees
All fees in Tanzanian Shillings
……………………….. RESIDENTS’ FEES
Adults: 2,000
Students and children: 300

NON-RESIDENTS’ FEES
Adults: 4,000
Students and children: 1,500

20/10/2023

SANAMU YA MWL. JK NYERERE.
Sanamu hii iliyotengenezwa kwa madini ya chuma inayoonesha twasira ya Mwl. JK Nyerere alipewa na Wajerumani k**a zawadi mwaka 1966, baada ya kuwa Rais wa kwanza wa Tanzania.

Na hapa ilipo ni sehemu ambapo Mwl. Nyerere alipozaliwa, na hapa ndipo nyumba ya Bi Christina Mgaya Nyang'ombe Mama yake na Mwl. JK Nyerere ilipokuwa, ilikuwa imejengwa kwa tope juu yake ikiwa imeezekwa kwa Nyasi.

Zamani Zahanati na hospitali hazikuwa nyingi k**a ilivyo kwa sasa ambapo kila sehemu zimeenea, hivyo Wamama walikuwa wanajifungulia tu ndani k**a kawaida baada ya hapo kitovu au kondo la mtoto huzikwa ndani ya Nyumba.

Na sanamu hii imewekwa hapo kwaajili ya kuenzi uzao wa Bi Christina Mgaya Nyang'ombe na Mwl. JK Nyerere ambapo ndipo kitovu Mwl. Nyerere au kondo lake lilipozikwa au kufukiwa.

Tembea kwenye makazi ya Mwl. JK Nyerere (MWITONGO).

Culture is Beautiful 💖💖💖, Culture is Incredible 💫💫💫



🇹🇿 .tanzania

Follow me
https://instagram.com/mpina_jeremiah?utm_source=qr&igshid=MThlNWY1MzQwNA==

20/10/2023

SEHEMU YA MWENGE.
Ukiwa MWITONGO (Makazi ya Mwl. JK Nyerere) basi unayo nafasi kubwa sana ya kupata moja mbili tatu kuhusu sehemu ya Mwenge.

Hii ni sehemu maalum ambayo Mwenge wa uhuru unapokuwa ziara Mkoani Mara lazima kuja katika hili eneo kwaajili ya kumuenzi Baba wa Taifa (Father of the Nation) Mwl. Julius Kambarage Nyerere, pia ni sehemu kwaajili ya kuzimia au kuwashia Mwenge kulingana na ratiba jinsi ilivyo pindi pale Mwenge unapoanza safari ama kumaliza safari.

Haya ni baadhi tu, ils mengi utayapata pindi unapotembelea MWITONGO au Makazi ya Mwl. JK Nyerere

Culture is Beautiful 💖💖💖, Culture is Incredible 💫💫💫

21/03/2023

Marking 31 years of Namibia's independence with the people of Namibia. / Tunaadhimisha miaka 31 ya uhuru wa Namibia na watu wa Namibia.

Karibu Mwitongo, Butiama. Tunatumaini ukitutembelea na wewe utaondoka na kumbukumbu nzuri ya Mwitongo. / Welcome to Mwit...
05/12/2022

Karibu Mwitongo, Butiama. Tunatumaini ukitutembelea na wewe utaondoka na kumbukumbu nzuri ya Mwitongo. / Welcome to Mwitongo, Butiama. We hope after you visit, you will also retain pleasant memories of your visit. www.butiamatourism.co.tz
@100
@100


Enzi hizo, Marais: Kenneth Kaunda wa Zambia, Mwalimu Julius Nyerere wa Tanzania, na Milton Obote wa Uganda. / Flashback,...
29/11/2022

Enzi hizo, Marais: Kenneth Kaunda wa Zambia, Mwalimu Julius Nyerere wa Tanzania, na Milton Obote wa Uganda. / Flashback, Presidents: Kenneth Kaunda of Zambia, Mwalimu Julius Nyerere of Tanzania, and Milton Obote of Uganda.
www.butiamatourism.co.tz

Today celebrating with the people of Lebanon 79 years of independence. / Leo tunasherehekea pamoja na watu wa Lebanon mi...
21/11/2022

Today celebrating with the people of Lebanon 79 years of independence. / Leo tunasherehekea pamoja na watu wa Lebanon miaka 79 ya uhuru.

www.butiamatourism.co.tz

Tumeanza kuuza stempu za kumbukumbu. Nunua unapotutembelea, au tunaweza kukutumia kwa njia ya posta popote ulipo.
30/08/2022

Tumeanza kuuza stempu za kumbukumbu. Nunua unapotutembelea, au tunaweza kukutumia kwa njia ya posta popote ulipo.

Former president, Jakaya Mrisho Kikwete speaking at the recently-concluded 13th Mwalimu J.K. Nyerere Centennial Intellec...
18/06/2022

Former president, Jakaya Mrisho Kikwete speaking at the recently-concluded 13th Mwalimu J.K. Nyerere Centennial Intellectual Festival. / RAis MStaafu Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza hivi karibuni kwenye mkutano wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere.

Photo by ALMASI PRODUCTION

From our souvenir shop: we now also sell stamps. We mail worldwide. / Kutoka duka letu la kumbukumbu: sasa tunauza pia s...
31/05/2022

From our souvenir shop: we now also sell stamps. We mail worldwide. / Kutoka duka letu la kumbukumbu: sasa tunauza pia stempu. Tunatuma popote duniani.
@100











Address

P. O. Box 4
Butiama
31201

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:30
Sunday 09:30 - 17:30

Telephone

+255782640033

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Butiama Cultural Tourism Enterprise (BCTE) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Butiama Cultural Tourism Enterprise (BCTE):

Share

Category