13/09/2026
Ushajiuliza weekend ya tarehe 20 hadi 22 November utakuwa wapi? Basi jibu limepatikana! Twendeni Mafia Island tukafurahie uzuri wa asili, na kutengeneza kumbukumbu zisizosahaulika na Fellers Safari Bay! ๐๐๏ธ
โKwa Tsh 400,000/= tu (per person), kila kitu !
๐ Usafiri (Dar - Nyamisati - Mafia na kurudi)
โต Safari ya Boti
๐จ Maradhi (Accommodation)
๐ฒ Chakula na Vinywaji laini (Meals & Soft Drinks)
#0713127019
#0766971286
LIPA NO VODA:
37820107
Bay