18/08/2026
Shukrani za Dhati ❤️🙏
Shukrani za dhati ziende kwa Orel Studio kwa kutuamini kusafirisha vifaa vyao vya muziki kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, na baadaye kuvirudisha tena hadi ofisini kwao Dar es Salaam.