24/04/2025
Habari njema!
Mwanafunzi wangu wa Kiswahili kutoka Ubelgiji🇧🇪 atafanya warsha ya dansi ya Balfolk kesho ijumaa 25/04/2025 pale Alliance Francaise karibu na hospitali ya Agakhani kuanzia saa 2 usiku.
Karibuni sana HAKUNA KIINGILIO!
Jisajiri sasa kupitia [email protected]