25/08/2024
📢NAFASI ZA KAZI: MABASI YA TILISHO SAFARI'S.
Kampuni Ya Mabasi Ya TILISHO SAFARI Inatangaza Nafasi Za Kazi Wahitaji zilizopo :-
1. Wahudumu Ndani Ya Basi (8)
2. Ukatishaji tiketi (7)
3. Makonda (Wakike, Kiume) (5)
4.Sheli (5)
Muhimu:
-Uwe Na Miaka Kuanzia 18 Na Kuendelea
-Ujuwe kusoma na kuandika
-WHATSAPP NUMBER +255785369607.