88 Wakala

88 Wakala Safari yako inaanza hapa! Wasiliana nasi 88 Wakala kwa tiketi za ndege ndani na nje ya Nchi.

Hii hapa ni link yetu itayokuleta moja kwa moja Whatsapp https://wa.link/wwpjv6

05/02/2026

Tatizo Sio Tiketi — Ni Usumbufu and Wa Kuipata…

Kwa 88 Wakala, tiketi ya ndege inapatikana bila kufika ofisini (unaweza fika pia ukihitaji) wala kupitia taratibu ngumu.

Ujumbe mmoja tu kupitia WhatsApp, simu au DM unatosha kuanza safari yako.

88 Wakala | Tiketi bila usumbufu

Safari yako ijayo ni wapi? ✈️
29/01/2026

Safari yako ijayo ni wapi? ✈️

Leo tumesaidia abiria kadhaa kufanikisha safari zaoAsanteni kwa kutuamini🙏🏿
27/01/2026

Leo tumesaidia abiria kadhaa kufanikisha safari zao

Asanteni kwa kutuamini🙏🏿

27/01/2026

Kila Safari Ina Mwanzo…

Tiketi ni hatua ya kwanza, 88 Wakala itakuelekeza kila hatua hadi unafika salama

Anza safari yako nasi kwa kutuma ujumbe WhatsApp kwenda 07413000300

Huu ndio ujumbe unaotupa nguvu ya kuendelea 🤍…Kwetu sisi, safari si tiketi tu — ni kutimiza ndoto, kuondoa hofu, na kuha...
26/01/2026

Huu ndio ujumbe unaotupa nguvu ya kuendelea 🤍…

Kwetu sisi, safari si tiketi tu — ni kutimiza ndoto, kuondoa hofu, na kuhakikisha mteja anasafiri kwa amani.

Asante kwa kutuamini.

Huu Ndio Ujumbe Unaotupa Nguvu Ya Kuendelea🤍…Kwetu sisi, safari si tiketi tu — ni kutimiza ndoto, kuondoa hofu, na kuhak...
26/01/2026

Huu Ndio Ujumbe Unaotupa Nguvu Ya Kuendelea🤍…

Kwetu sisi, safari si tiketi tu — ni kutimiza ndoto, kuondoa hofu, na kuhakikisha mteja anasafiri kwa amani.

Asante kwa kutuamini.

Una Mpango Wa Kusafiri Kwenda Mwanza Hivi Karibuni?… Kwa abiria wa Mwanza, kupanga safari mapema kunakupa uhuru wa kucha...
25/01/2026

Una Mpango Wa Kusafiri Kwenda Mwanza Hivi Karibuni?…

Kwa abiria wa Mwanza, kupanga safari mapema kunakupa uhuru wa kuchagua muda mzuri wa safari kwa gharama nafuu.

Kwa sasa, booking za mapema zinafanya safari iwe nafuu zaidi 👇

• One way: Tsh 273,000/=
• Return: Tsh 444,000/=

Bei hizi ni kwa wale wanaopenda kupanga safari bila presha ya dakika za mwisho.

88 Wakala tunakusaidia kuchagua muda unaokufaa, kufuatilia ratiba, na kukujulisha mapema k**a kuna mabadiliko yoyote.

Tuma ujumbe whatsapp kwenda 0741300300 ujionee ilivyokua rahisi na haraka kupata tiketi yako ya ndege.

✈️

Safari zenye mahitaji maalumu zinahitaji mpangilio maalum. 88 Wakala, tunahakikisha kila abiria anasafiri kwa heshima na...
24/01/2026

Safari zenye mahitaji maalumu zinahitaji mpangilio maalum.

88 Wakala, tunahakikisha kila abiria anasafiri kwa heshima na usalama

Kwa ushauri, maulizo na tiketi za ndege tupigie au whatsapp kwenda 0741300300

22/01/2026

Kabla ya Kuanza Safari Yako Tafadhali Soma Hapa…

Kwa abiria wanaosafiri ndani ya Tanzania

Ni lazima kuwa na kitambulisho halali (original) wakati wa kuingia airport.

Vitambulisho vinavyokubalika:

• NIDA
• Driving Licence
• Kitambulisho cha Mpiga Kura

Passport inakubalika, lakini si sharti kwa safari za ndani.

Tunashauri abiria wahakiki ID zao mapema kabla ya siku ya safari ili kuepuka usumbufu airport.

88 Wakala tunatoa ushauri bure kuhusu safari za ndege kupitia namba 0741300300

21/01/2026

Unapendelea Safari Za Asubuhi mapema au Usiku?

Fanya Booking Mapema Kupata Gharama Nafuu Zaidi…AirTanzania ndio ndege pekee hufanya safari ya kwenda Mbeya. Na ratiba y...
18/01/2026

Fanya Booking Mapema Kupata Gharama Nafuu Zaidi…

AirTanzania ndio ndege pekee hufanya safari ya kwenda Mbeya.

Na ratiba ya safari ni kila siku, ambapo ndege hua inaondoka jioni 16:30

Gharama ya safari hii huanzia 263,000/= kwenda tu na 419,800/= kwenda na kurudi (Gharama hii utaipata k**a utafanya booking mapema angalau week mbili kabla ya safari)

88 Wakala tutakusaidia kupata tiketi hii kwa urahisi na haraka

Tuma ujumbe whatsapp kwenda 0741300300 ujionee ilivyokua rahisi na haraka kupata tiketi yako ya ndege.

Address

UHURU Street, DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam
2238

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 88 Wakala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category