15/05/2025
📍 “Misitu ya Pugu Kazimzumbwi haielezeki kwa maneno – lazima utembee mwenyewe.”
“Hatua kwa hatua, tulikuwa karibu zaidi na asili – hiki ni zaidi ya hiking.”
“Hakuna wifi msituni, lakini utapata connection ya kweli na wewe mwenyewe.”
“Milima, miti, na sauti za ndege – ni k**a dunia nyingine.”
“Umetembea msituni? Ukitembea Pugu Kazimzumbwi, utarudi na moyo mpya.”
“Kutulia juu ya maji ndani ya msitu – hii ni therapy halisi.”
📍 “Kayaking ndani ya utulivu wa Pugu – hapa hakuna presha, ni furaha tupu.”
“Maji yalikuwa tulivu, sisi tukiteleza kwa amani… unforgettable!”
“Kelele za mjini hatuzisikii tena – sasa ni paddle na mawimbi tu.”
“Kama hujawahi kujaribu kayaking Pugu, umekosa sehemu ya Tanzania ya kuvutia sana.”