Maisha na Falsafa za Safari

  • Home
  • Maisha na Falsafa za Safari

Maisha na Falsafa za Safari Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maisha na Falsafa za Safari, Mambo Poa, Street No. 6, .

Is a book telling about life journey, challenges, education, knowledge, skills, experience, motivations and new positive life perspectives in facing stuffs and moving forward in this life arena for the positive outcomes in the physical and spiritual world

Visit the link below to buy your copy of this book for english language version.👇
01/07/2024

Visit the link below to buy your copy of this book for english language version.
👇

GetValue is an exceptionally and uniquely designed platform, our mission is to be an International favourite destination for finding unlimited value for our customers, sellers and affiliate marketers worldwide.

Tembelea link hii hapa chini kupata kununua nakala ya kitabu hiki toleo la lugha ya kiswahili.👇
01/07/2024

Tembelea link hii hapa chini kupata kununua nakala ya kitabu hiki toleo la lugha ya kiswahili.
👇

GetValue is an exceptionally and uniquely designed platform, our mission is to be an International favourite destination for finding unlimited value for our customers, sellers and affiliate marketers worldwide.

Table of Content
01/07/2024

Table of Content

Yaliyomo
01/07/2024

Yaliyomo

“Life is short, but contains long journey in it.” “Life and the Philosophies of the Journey,” is a book telling about th...
01/07/2024

“Life is short, but contains long journey in it.” “Life and the Philosophies of the Journey,” is a book telling about the life journey, various challenges, education, knowledge, skills, experience, motivations and the new positive perspectives of life in facing stuffs and moving forward in this life arena for the positive outcomes in this physical and spiritual world. As it is, life is short for the time we have to be alive in this world compare to the amount of stuffs we are supposed to accomplish on time. Many use to say, “Time is not enough,” for those who have the hope of life; implies that, there is a lot of stuffs while time is very limited, and on the other side, we keep on decaying more and more. But also, together with this shortness of time, but when you come to how hard some of the stuffs are, together with challenges and troubles that some of the people are experiencing, this lead for some of them to see this journey as a very endless troubled journey, that reach a point, some feel like time is not moving, Universe has stopped and inclined on them, for those whose hope has gone. T his book has touched various aspects of such journey, such as how human travel in such journey, from their journey of birth into this world, their childhood, their raising, their youth, until their eldest age and decaying, also various challenges of life faced by human, spiritual faith, economics, entrepreneurship, administrative authority, ethics, parenting guardianship, growth, relationship, philosophies, knowledge, skills, answers, motivation and the way how humans tackle their environments and the societies at all. T hey are words of teachings, knowledge, wisdom, skills, various philosophies, motivation, inspiration, hope, and to bring revelation, new image and focus of life, to face our environments, standing up again much stronger and moving on forward.

“Maisha ni mafupi, ila yana safari ndefu ndani yake.” “Maisha na Falsafa za Safari,” ni kitabu kinachoelezea safari ya m...
01/07/2024

“Maisha ni mafupi, ila yana safari ndefu ndani yake.” “Maisha na Falsafa za Safari,” ni kitabu kinachoelezea safari ya maisha, changamoto mbalimbali, elimu, maarifa, ujuzi, uzoefu, kuhamasisha na kujengeana mitazamo chanya ya kukabili mambo na kusonga mbele katika kupambana kimaisha kwa matokeo chanya katika Ulimwengu huu wa kimwili na kiroho. K**a ilivyo, maisha ni mafupi kwa namna ya muda tuliowekewa kuishi hapa duniani na namna ya mambo yaliyopo yanavyotukabili na kutupasa kuyatimiza kwa wakati. Wengine hudiriki kusema kuwa, “Muda hautoshi,” hasa kwa wale wengi walio na matumaini; yaani mambo ni mengi, lakini muda ni mchache huku tukizidi kunyauka. Ila pia, pamoja na ufupi huo wa maisha, lakini ukija kuangalia namna ya baadhi ya mambo yalivyo magumu, pamoja na changamoto na mataabiko yaliyopo kwa baadhi ya watu, hufanya safari hii kwa wengine kuonekana ni ndefu sana, tena yenye dhiki na mataabiko, na kufikia kusema kuwa, “Muda hauendi, dunia imesimama na kuwaelemea,” hasa kwa wale waliokata tamaa na kupoteza matumaini. Kitabu hiki kimegusia mambo mbalimbali katika safari hiyo, k**a vile jinsi mwanadamu anavyosafiri katika safari hiyo, kuanzia kuzaliwa na kuja hapa duniani, utoto wake, kukua na ujana wake, mpaka anafikia uzeeni na kunyauka, pia changamoto mbalimbali anazokutana nazo kimaisha, imani, uchumi, ujasiriamali, utawala, maadili, malezi, makuzi, mahusiano, falsafa, elimu, ujuzi, majibu, hamasa na namna anavyokabili mazingira yake na jamii kwa ujumla. Ni maneno yenye kufunza, kutoa elimu, maarifa, hekima, ujuzi, falsafa mbalimbali, kuhamasisha, kutia moyo na kutupatia ufunuo, taswira na dira mpya kimtazamo katika kukabiliana na mazingira yetu kimaisha, na kisha kusimama imara na kusonga mbele.

01/07/2024

Life is Short, but Contains Long Journey in it

Address

Mambo Poa, Street No. 6

4111

Website

https://www.getvalue.co/prod/maisha_na_falsafa_z

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha na Falsafa za Safari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Travel Agency?

Share