22/06/2026
Oneni k**a pow,
Walikuta babu zenu hawana viungo vya kisasa vya viwandani wakawa wanapika chakula na kuweka Pilipili Manga na kula, wakawauliza mbona mnaweka Pilipili Manga kwa vyakula na vinywaji vyenu!
Oneni k**a pow,
Wazee wenu wa kiafrika wakajibu Pilipili Manga kwenye mlo:
-Husaidia kuamsha mmeng'enyo wa chakula
-Kuzuia na kuondoa gesi tumboni
-Kuzuia kikohozi na mafua ya kawaida
-Kuzuia makohozi kifuani
-Kuzuia uvimbe mwilini
-Kusaidia mwili kufyonza virutubisho vya vyakula vingine
-Kuzuia uharibifu wa seli (ina antioxidants)
-Kuchochea mwili kuchoma mafuta ya ziada
Oneni k**a pow,
Wazungu wakawauliza Tena, wazee wenu ipi tofauti ya Pilipili Manga nayo wazee wenu wakajibu hivi:
Pilipili Manga iliyosagwa tayari ikakaa muda mrefu hadi ikapoteza ule harufu yake kali na ladha ya kuwasha, hiyo imepoteza nguvu ya mafuta yake ya asili (piperine) na haina tiba tena. Ila zile mbegu nzima za duara nyeusi ambazo unazisaga mwenyewe wakati wa matumizi, hiyo ndio siri ya asili na ndio tiba iliyokamilika.
Tiba ya Pilipili Manga sio tu kuleta ladha, bali inaponesha na kusafisha mfumo mzima wa upumuaji na kusaidia tumbo kutoa tindikali sahihi ya kusaga chakula. Ila kwa tafadhali sana, ukiisaga na kuiacha wazi juani au hewani kwa muda mrefu unapoteza ufanisi wa dawa yake, hivyo inatakiwa ihifadhiwe ikiwa nzima na kusagwa pale tu inapohitajika ili isipoteze mafuta yake ya tiba yaliyopo ndani ya ganda lake jeusi.
Kwa msaada zaidi piga namba hii 0762 286 282 / DR WILLIAM CLINIC TANZANIA