Travel withckelo

Travel withckelo Wildlife safaris, Culture & Historical tour, Zanzibar & Beach holidays For all customized cost effective Safaris (Endless adventures)

22/11/2025
Beauty, calmness, relaxation, freshness is all about this place and the pictures don't do this place justice.It's all yo...
14/09/2025

Beauty, calmness, relaxation, freshness is all about this place and the pictures don't do this place justice.

It's all you need to get away from EVERYTHING and reconnect with nature, your loved ones and even yourself.

Yooh 🙌

Pata Uzoefu wa porini katika usiku mmoja siku mbili ya Safari! Kutoka mjini  kwa safari ya kufurahisha na *Travel_Withck...
11/08/2025

Pata Uzoefu wa porini katika usiku mmoja siku mbili ya Safari! Kutoka mjini kwa safari ya kufurahisha na *Travel_Withckelo* na *Run Africa safari*

🌞Day 1) Asubuhi ya mapema 8:00 tutaanza safari kutoka dar es salaam kuelekea Morogoro mjini tutafikia katika hotel,. Baada ya hapo tutapata chakula Cha mchana na vinywaji laini tukimaliza tutatoka kwenda *Choma waterfalls* tufanya hiking kwa kupanda milima ya Uluguru

Jioni tutageuza (Hotel) kwa mapumziko SAA 9:00 usiku tutapata Chakula kwa pamoja

🌞Day 2) Alfajili SAA 5:00 tutapata chai Kisha kuanza Safari kuelekea *Mikumi national Park* tutafika SAA 7:30 am. Tutaanza utalii ndani ya hifadhi ya taifa Mikumi mpaka mchana SAA 2:00 pm tutapata *lunch box* Kila mmoja kwa ajili ya chakula Cha mchana baada ya hapo tutaendelea kufanya Utalii ndani ya mbuga SAA 5:30 pm tutoka hifadhini kuanza Safari na kugeuza Dar es salaam. End

➡️ Book your adventure today and make memories that last a lifetime!
📩DM WhatsApp 0655443356, 0694457392, +255678664341

Pay via Airtel money *0694457392*

Perfect for families, couples & friends

BagamoyoAsante sana Kwa wadau ambao tuliungana wote kwenye hii safari ya utalii wa ndani.Tulipata nafasi kubwa ya kufany...
02/07/2025

Bagamoyo

Asante sana Kwa wadau ambao tuliungana wote kwenye hii safari ya utalii wa ndani.

Tulipata nafasi kubwa ya kufanya utalii wa ndani pale Bagamoyo. Moja ya mambo kuhusu Bagamoyo ni kuhusiana na historia yake ilivyokua na mambo mengi. k**a vile kaburi la wapendao....hapo unaenda na Mchumba wako mnaweka nadhiri halafu mnatupia kajiwe😂. Pia tulizunguka mbuyu wenye historia ya kuishi miaka zaidi 500...inaaminika ukizunguka kutoka kushoto kwenda kulia unakua unaongeza miaka yako na kuzungukuka kutoka kulia kwenda kushoto unakua unapunguza miaka yako😅.

Mastori ni mengi sana tulipiga hapo Bagamoyo pia tulifanya michezo ya kulenga shabaha,kupanda ngamia na kuona mamba,nyoka,ndege, pundamilia na kupiga picha na nyoka😀.

kimtindo kua balozi wa mwenzako kumshawishi kufanya utalii wa ndani...

You can contact us for customize family, corporate or groo tours to some or any other tourist destination of Tanzania.

contact us . Whatsapp/call 0694457392, 0655 472 866

Hello nakukalibisha ktk tour ya Bagamoyo day trip itakua tar 29/6/2025.Gharama Kwa mtu mmoja ni 50,000.*Gharama inajumui...
16/04/2025

Hello nakukalibisha ktk tour ya Bagamoyo day trip itakua tar 29/6/2025.

Gharama Kwa mtu mmoja ni 50,000.

*Gharama inajumuisha*👇
🌿Usafili kwenda na kuludi
🌿Chakula cha mchana na vinywaji laini.
🌿Tutafanya utalii Kaole na kujua mji wa kihistoria Bagamoyo
🌿Pia Tutafanya utalii wa kupanda Ng'amia .
🌿Pia tutapata nafasi ya kutembelea snake park kujua historia za nyoka mbali mbali na kupiga picha na Pundamilia
🌿Pia tutaaenda kupata upepo Baharini na kuogelea (Indian ocean).

Njoo Whatsapp 0655443356 nikuunge kwenye group la safari

Hello nakukalibisha ktk tour ya Bagamoyo day trip itakua tar 28/6/2025.Gharama Kwa mtu mmoja ni 50,000.*Gharama inajumui...
09/04/2025

Hello nakukalibisha ktk tour ya Bagamoyo day trip itakua tar 28/6/2025.

Gharama Kwa mtu mmoja ni 50,000.

*Gharama inajumuisha*👇
🌿Usafili kwenda na kuludi
🌿Chakula cha mchana na vinywaji laini.
🌿Tutafanya utalii Kaole na kujua mji wa kihistoria Bagamoyo
🌿Pia Tutafanya utalii wa kupanda Ng'amia .
🌿Pia tutapata nafasi ya kutembelea snake park kujua historia za nyoka mbali mbali na kupiga picha na Pundamilia
🌿Pia tutaaenda kupata upepo Baharini na kuogelea (Indian ocean).

Kiufupi mambo yatakua ni mengi sana Anza kushika seat yako Kwa kufanya malipo kupitia namba hii *0784 197 544 jina Tatu salumu.

Pia karibu kwenye group la safari Call/Whatsapp 06555443356, +255 714 445 022, 0655 472 866.

Vikindu nature forest reserve ✅Vikindu Forest  tour it was so 🔥Thank you very much for all members who trust and travel ...
03/11/2023

Vikindu nature forest reserve ✅

Vikindu Forest tour it was so 🔥
Thank you very much for all members who trust and travel with Travel withckelo

So wonderful mood in the nature 🌿🌱Vikindu Forest  tour it was so 🔥Thank you very much for all members who trust and trav...
03/11/2023

So wonderful mood in the nature 🌿🌱

Vikindu Forest tour it was so 🔥
Thank you very much for all members who trust and travel with Travel withckelo

Cc





Address

Goba Matosa
Kariakoo

Telephone

+255687358035

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Travel withckelo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Travel withckelo:

Share

Category