05/04/2017
Eneo hili adimu kabisa linapatikana hatua chache kutoka Msikiti Mkubwa ambapo ndipo kuna hili jengo kubwa linalofahamika k**a Ngome ya Gereza ambalo lipo tofauti na majengo mengine na halikujengwa na wakazi wa kilwa bali wareno ndio walilo lijenga wakiongozwa na Fransisco De Almeida, Gereza hili lilijengwa Karne ya 15, utapata maelezo mengi zaidi ukifika hapa.