03/08/2026
Karibu Star Msaa Cultural Eco Lodge – mahali ambapo utamaduni wa Kichaga, mazingira ya asili na utalii wa kipekee hukutana. Furahia mandhari ya Mlima Kilimanjaro, mashamba ya kahawa na migomba, vyakula vya asili, vinywaji vya jadi, pamoja na ukarimu wa jamii yetu. Karibu ujionee mwenyewe! 🌿⛰️