Hazya Logistics & Co Ltd

Hazya Logistics & Co Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hazya Logistics & Co Ltd, Tour Agency, Sabasaba, Mtwara.

Hazya Logistics & Co Ltd is a company dealing with;
Logistic &Transportation
Clearing & Forwarding
Packing & Packaging
Crop agent ( Food crops & Cash crops)
Warehouse & Storage
OTHERS

13/10/2025

Goodmorning

Mkurugenzi wa HAZYA LOGISTICS&CO.LTD ,Ndugu Hamisi Batiri amepata fursa ya kutembelea kiwanda cha Kubangua korosho kilic...
18/04/2025

Mkurugenzi wa HAZYA LOGISTICS&CO.LTD ,Ndugu Hamisi Batiri amepata fursa ya kutembelea kiwanda cha Kubangua korosho kilichopo KITANGARI (Mmovo) ambacho kinamilikiwa Chama Kikuu ch Ushirika cha TANECU.
Akiwa hapo ameshuhudia shughuli nzima ya ubanguaji wa korosho mwanzo mpaka mwisho wa hatua mpaka ufungaji.

Anapenda kuushukuru uongozi wa kiwanda kwa mapokezi mazuri na maelekezo yake yote aliyopatiwa.

Pia anakipongeza Chama kikuu cha Ushirika TANECU chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Chipola na watendaji wake wote kwa uwekezaji uliofanyika ni hatua muhimu ya kuwakomboa Wakulima wa zao la Korosho kwa kuongeza thamanizao hilo.

Nitumie fursa hii kumpongeza Mh Husein Bashe, Waziri wa Kilimo tunaona katika kipindi chake hiki wakulima wananufaika na kazi za mikono yao kwa kupata bei nzuri za mazao yao hususani kwa kuanzisha uuzaji wa mazao kupitia TMX ambao umekuja kuwaondoa madalali sokoni.
Hongera sana Mh. Waziri Bashe.

Lakini haya yote yamewezekana kutokana na Nia thabiti ya Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mh. Daktari Samia Suluhu Hassan ya kuinua sekta hii ya kilimo sambamba na kumuinua mkulima.Hongera sana Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Pia nitoe wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuiwezeza sekta binafsi ili iweze kuwa na ufanisi .
Kupitia sekta binafsi tunaweza kupunguza wimbi la kukosekana kwa ajira nchini.

Cassava is available in large quantity welcome
04/03/2025

Cassava is available in large quantity welcome

02/11/2024
Muhogo mkavu unahitajika aliyenao anipigie 0716 320 717
02/11/2024

Muhogo mkavu unahitajika aliyenao anipigie 0716 320 717

02/11/2024

Address

Sabasaba
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hazya Logistics & Co Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category