Mark International Travel&Tours

Mark International Travel&Tours We bring together different nations in adventure tours

TANGAMark International Travel&Tours
29/03/2025

TANGA

Mark International Travel&Tours

A game ranger caught in a very tense moment when a curious Leopard jumped on his Jeep and started to sniff around. He ha...
29/03/2025

A game ranger caught in a very tense moment when a curious Leopard jumped on his Jeep and started to sniff around. He handled the situation by not making any eye contact till the leopard was satisfied that he wasn't being threatened.

Photo:Kingsley Mfezi Biddington
Mark International Travel&Tours

*Uzinduzi wa “Amazing Tanzania” Watia Fora, Dkt. Abbasi Aeleza Tamu na Chungu za “Location” na Marais wa Nchi*Hatimaye F...
04/11/2024

*Uzinduzi wa “Amazing Tanzania” Watia Fora, Dkt. Abbasi Aeleza Tamu na Chungu za “Location” na Marais wa Nchi*

Hatimaye Filamu ya kuitangaza nchi Uchina ya “Amazing Tanzania” iliyomshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan, Dr. Hussein Mwinyi na msanii Jin D**g kutoka China, imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam.

Katika uzinduzi huo Waziri wa Utalii Pindi Chana amemwakilisha Rais Samia huku Serikali ya Uchina chini ya Rais Xi Jinping ikiwakilishwa na Naibu Waziri wa Utalii, Bw. Lu Yingchuan.

“Tayari tangu filamu hii izinduliwe Beijing Mei mwaka huu idadi ya watalii Wachina wanaokuja nchini imeongeza kutoka 44,000 mwaka jana hadi 54,000 kufika Septemba mwaka huu sawa na ongezeko la watalii 10,000 na bado mwaka wa utalii unaishia Disemba,” anasema Waziri Pindi Chana.

“Moja ya changamoto kubwa ni kuwa ‘location’ na viongozi wakubwa ni pamoja na muda wao kuwa mdogo na hata namna ya kumfanya kiongozi arudierudie kurekodi anapokuwa hajakamilisha vyema inaweza kuwa ngumu.

“Lakini timu zote tuliosimamia nao uzalishaji wa filamu hii na ile ya Royal Tour tunashukuru kuvuka vikwazo vyote hivyo,” ameeleza Dkt. Hassan Abbasi Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii aliyesimamia uzalishaji wa filamu hizo.

Mark International Travel&Tours

*🦏TOFAUTI  KATI YA FARU MWEUPE NA  FARU MWEUSI SIO RANGI✍️* Mtafiti wa Faru  kutoka Taasisi  ya  Utafiti  wa  Wanyamapor...
02/10/2024

*🦏TOFAUTI KATI YA FARU MWEUPE NA FARU MWEUSI SIO RANGI✍️*

Mtafiti wa Faru kutoka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) Dkt.Victor Kakengi amesema Duniani kuna spishi/aina tano (5) za faru ambazo zipo kwenye mabara mawili pekee ambayo ni Bara la Afrika na Bara la Asia.

Katika Bara la Afrika kuna spishi mbili (02) za faru ambazo ni Faru Mweupe na Faru Mweusi na kwa upande wa Bara la Asia kuna spishi tatu (03) za faru ambazo ni Java, Sumatran na one horned rhino.

Tofauti kati ya Faru mweupe na faru mweusi ambao wote wanarangi ya Kijivu, ni kwamba faru mweupe (white Rhino) anakula nyasi, umbile lake ni kubwa, mdomo wake una umbo la boksi na wanapenda kuishi pamoja tofauti na faru weusi ambao wanakula majani na vichaka, wana mdomo k**a ndoano au uliochongoka, wanapenda kuishi mmoja mmoja(solitary), wanaishi kwenye vichaka, na kwa umbile ni mdogo kuliko faru mweupe.

Tanzania ina spishi ya faru weusi na inashika nafasi ya 5 kwa idadi ya faru weusi barani Afrika. kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt.Pindi Chana Tanzania inajumla ya faru weusi 263.

TILL WE MEET AGAIN 💔Mehmet Yildirim My heart aches with your family and friends during this arduous of mourning. Beyond ...
14/03/2024

TILL WE MEET AGAIN 💔

Mehmet Yildirim My heart aches with your family and friends during this arduous of mourning. Beyond doubt your life was true blessing and your memory will forever be a source of inspiration to many and be missed tremendously. I send condolences to your family , friends and the golden gym‘ family. Until we meet again brother

Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe Iron Lady
Friends of Florah Magabe Iron Lady🇹🇿💪🏽

Florah MagabeFlorah MagabeFlorah MagabeFlorah Magabe Iron LadyFriends of Florah Magabe Iron Lady
03/03/2024

Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe Iron Lady
Friends of Florah Magabe Iron Lady

TUKIWA KWENYE ZIARA YA UWT TAIFA ZANZIBAR TUKIWA TUMEAMBATANA NA DC, LORD MAYOR TULIFIKA  KIZIMKAZI KWENYE PANGO MAARUFU...
29/02/2024

TUKIWA KWENYE ZIARA YA UWT TAIFA ZANZIBAR TUKIWA TUMEAMBATANA NA DC, LORD MAYOR TULIFIKA KIZIMKAZI KWENYE PANGO MAARUFU NDANI YAKE KUNA CHEMICHEMI ISIYOKAUKA MAAELFU YA WATU HUFIKA HAPA KUHIJI, KUFANYA DUA ILI MAMBO YAO YANYOOKE NA K**A UNAONA MLANGO WA KUINGIA KWENYE PANGO KUNA VITAMBAA VYA RANGI MBALIMBALI. AMBAVYO WATU HUVIWEKA BAADA YA KUSWALI.

NDANI YA PANGO HILI KUNA JIWE LINA MFANO WA MWANAMKE AMEBEBA CHOMBO CHA MAJI INASADIKIKA WATU WA ZAMANI WALIKUWA WANATAKA MAJI HUMU KWA SHARTI LA KUTOZUNGUMZA UKIWA NDANI, ILA SIKU MOJA MWANAMKE MMOJA ALIKWENDA KUCHOTA MAJI NA MKE MWENZAKE KISHA MKE MWENZAKE AKATOKA HARAKA NA KUMUITA JINA NA ALIVYOITIKA ALIGEUKA JIWE….

SASA MAWATAARIFU NILISHAFIKA HAPA SASA MSINICHEZEE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MAMBO YA KIMZKAZI HAYA..

Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe Iron Lady
Friends of Florah Magabe Iron Lady

NIPO NA HAWA WATUMISHI WA MUNGU NA WANANCHI BIG BOSS MHE Stanslaus Mabula MBUNGE NYAMAGANA NA MHE MSTAHIKI MAYOR JIJI LA...
23/02/2024

NIPO NA HAWA WATUMISHI WA MUNGU NA WANANCHI BIG BOSS MHE Stanslaus Mabula MBUNGE NYAMAGANA NA MHE MSTAHIKI MAYOR JIJI LA MWANZA Sima Constantine Sima

Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe Iron Lady
Friends of Florah Magabe Iron Lady

17/02/2024

Please follow Florah Magabe Iron Lady channel on WhatsApp
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe

15/02/2024

Habari Tanzania

Karibu katika Channel yetu pendwa Konzi La Moyo TV Show kupitia WHATSAP ambapo unaweza pata updates zote za vipindi vyetu mahususi vya kuhamasisha maadili mema na. Kupinga udhalalishaji pamoja na ukatili wa kijinsia.

Follow us
Like
Share
Join in

Konzi LA Moyo
Konzi La Moyo Tv Show
KONZI LA MOYO TV SHOW

‎Follow the KONZI LA MOYO TV SHOW channel on WhatsApp:

TANZANIA TUNAKULILIA MAHIRI WA MEDENI ZA SIASA, MZALENDO, LEGONAWANI NA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA. UNTILL WE ME...
10/02/2024

TANZANIA TUNAKULILIA MAHIRI WA MEDENI ZA SIASA, MZALENDO, LEGONAWANI NA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA.

UNTILL WE MEET AGAIN😘
Florah Magabe
Florah Magabe Iron Lady
Friends of Iron Lady Florah Magabe
Friends of Florah Magabe Iron Lady

Address

Mwanza
P.O.BOX10243ATPAMBAMWANZA,TANZANIA.EASTAFRICA335BLOCZBUGANDOAREA

Telephone

+255764975666

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mark International Travel&Tours posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share