Udzungwa people to people Tours

Udzungwa people to people Tours Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Udzungwa people to people Tours, Travel Company, Katoro, Geita.

asilimia ngapi kwa modeling wetu..😂😂
04/02/2026

asilimia ngapi kwa modeling wetu..
😂😂

SIO “SHEIKH UBWABWA” TU, HADI “PASTOR WALI” YUPOTanzania ni nchi ya kipekee ambayo, ukiweka mbali Ukosefu wa HAKI, UTAWA...
01/12/2025

SIO “SHEIKH UBWABWA” TU, HADI “PASTOR WALI” YUPO

Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo, ukiweka mbali Ukosefu wa HAKI, UTAWALA BORA na MAENDELEO YA WATU, tulifanikiwa kuepuka Maadui hawa wawili; UDINI na UKABILA. Hii imefanya tuwe na UTULIVU, ambao kwa mbali unaweza kudhani ni AMANI.

Nimefurahia jinsi WENYE NCHI, wakiongozwa na GEN Z, wakivyofanikiwa KUZIMA upuuzi wa kutugawa KIDINI ulioletwa na “Low Brain Strategists” wa WATAWALA.

Ingawa kweli kuna waliojificha nyuma ya Dini ya KIISLAMU nakutoa kauli CHAFU na CHOCHEZI, ni UKWELI usiopingika, wapo Viongozi wa KIKISTRO ambao walifanya hivyo pia. Tuwakatae wote kwa pamoja na tusisite kuwaita MANABII WA UONGO.

BAKWATA inajulikana kujaa “Mashehe Ubwabwa” ndio maana wakadai “AMANI kwanza kabla ya HAKI”, ili wasaidie NARRATIVE ya WATAWALA. Uzuri WAISILAMU hawafuati Maneno ya Mashehe, bali Mafunzo ya MTUME MOHAMMAD (sallallahu ‘alayhi wa sallam) na QUR’ANI TUKUFU ya MWENYEZI MUNGU( subhanah wa ta’ala). Baadhi ya majina ya ALLAH (SWT) ni “Al-Adl”, “Al-Hakam” na “Al-Muqsit” na yote yana dhima ya HAKI. Leo Shehe kapewa mlungula, anapotosha UMMA na kuongelea Vurugu badala ya kukemea Mauaji.

Pia kuna WACHUNGAJI UBWAWA k**a MWAPOSA na yule mwingine ZERUZERU. Mwamposa unatumika na ipo wazi; hadi Kanisani kwako walikuja. Eti “Maandamano yanaharibu Utukufu Wa Mungu”. YESU aliandamana kuingia Jerusalem, na pia alifanya Vurugu kwenye Hekalu pale watu walipozingua. Biblia takatifu inasema Mungu wetu ni Mungu wa HAKI. ZABURI 89:14 “Uadilifu na Haki ndio Msingi wa Ufalme wako”. Pastor gani unahubiri neno la bwana, na unajipa upofu wa kutetea wapigania Haki, ilihali Mungu ni wa Haki?

Tanzania has been a safe haven of all religions & faiths, where people (even fake pastors) worship in harmony, unbothered. Ni UTAMADUNI wetu, na unalindwa na KATIBA. Na kiukweli, familia zetu nyingi ni za KRISLAMU!

Pongezi kwa Mashehe na Makanisa yaliyosimama kwenye UKWELI na HAKI. Na Kwa GEN Z waliozima UPUUZI.

UJUMBE kwa Mapasta na Mashehe Ubwabwa..

18/11/2024

Wakili wa Mahak**a Kuu ya Tanzania Fernidand Makole, amesema kwa mujibu wa sheria za Tanzania, taratibu za uk**ataji zinamtaka Polisi akienda kumk**ata Mtuhumiwa kwanza ajitambulishe na aonesha hati ya uk**ataji (arrest warrant) akiwa na gari la Polisi linalotambulika hivyo waliohusika kwenye tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo wawe ni Polisi au Watu wengine wanapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria kwakuwa wamekiuka sheria.

“Hii ya kuk**ata holela ndio inatengeneza makosa ya utekaji ambayo ni ya jinai, maoni yangu Mtu akija hajajitambulisha usikubali akuk**ate, akija Mtu na silaha kwa kutumia nguvu k**a Tarimo alichofanya hapa ni kujitetea mwenyewe (self defence), kwa mujibu wa sheria kuna utetezi binafsi, kwahiyo Mtu akija kukuk**ata na hajajitambulisha jitetee hata ukienda Mahak**ani ukiwa na kosa utasema nilikuwa najitetea kulinda usalama wangu binafsi” ameeleza Wakili Makole kwenye mahojiano na

Baada ya tukio hili la kutaka kutekwa kwa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo, Mawakili/Wanasheria mbalimbali wa Tanzania wamejitokeza kuikumbusha jamii ya Watanzania sheria inasemaje pale wanapofuatwa kuk**atwa na Polisi ambapo Wakili Jebra Kambole ameandika yafuatayo.

Usikubali kuk**atwa na Mtu;
1. Kavaa kiraia
2. Gari halina No. au No za kiraia
3. Watu ambao hawajatoa vitambulisho
4. Watu wasiokwambia kosa lako na kwamba uko chini ya ulinzi.
5. Watu wasio na hati ya uk**ataji!!

Best organizers of budget safaris, Safaris that fit your budget.
19/11/2023

Best organizers of budget safaris, Safaris that fit your budget.

FIELD GUIDE
12/11/2023

FIELD GUIDE

Address

Katoro
Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Udzungwa people to people Tours posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Udzungwa people to people Tours:

Share