Televisheni ya utalii tanzania

Televisheni ya utalii tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Televisheni ya utalii tanzania, Greencastle, IN.

A cheer and a great welcome to the group of Chinese Travel Agents on their arrival in Zanzibar Soucre : Tanzania Tourist...
05/13/2023

A cheer and a great welcome to the group of Chinese Travel Agents on their arrival in Zanzibar

Soucre : Tanzania Tourist Board

Kwa mujibu wa jarida la Tripadvisor' limetaja maeneo 10 duniani yaliyoingia klwenye trnding ya utalii.Yaani maeneo yanay...
12/29/2022

Kwa mujibu wa jarida la Tripadvisor' limetaja maeneo 10 duniani yaliyoingia klwenye trnding ya utalii.

Yaani maeneo yanayotafutwa zaidi mtandaoni kwa lengo la utalii, na katika maeneo hayo jiji la Arusha kutoka Tanzania limefanikiwa kuingia 10 na kushika nafasi ya 8.

Orodha hiyo ipo hivi:

Tripadvisor's Top 10 trending destinations in the world, 2022.

1. Mallorca, Spain

2. Cairo, Egypt

3. Rhodes, Greece

4. Tulum, Mexico

5. Dubrovnik, Croatia

6. Ibiza, Spain

7. Natal, Brazil

8. Arusha, Tanzania

9. Göreme, Turkey

10. Santorini, Greece

Kwa bara la Afrika Arusha ikishika nafasi ya kwanza huku Zanzibar ikishika nafasi ya 21 duniani.

Chanzo. Tripadvisor. Written by

03/10/2022
WORLD ENVIROMENT DAY (WED) Leo Ni maadhimisho ya siku ya mazingira duniani siku hii ilipendekezwa na umoja wa mataifa 19...
06/06/2021

WORLD ENVIROMENT DAY (WED) Leo Ni maadhimisho ya siku ya mazingira duniani siku hii ilipendekezwa na umoja wa mataifa 1974 Stockholm ikiwa na lengo la kukuza uelewa wa utunzaji wa mazingira duniani kote.

Unaweza ukaadhimisha siku hii kwa kufanya usafi
https://t.co/8ZOEBdcffp

TTmedia tutakuenzi kwa yafuatayo kwenye sekta ya utalii. 1. kuwavutia wawekezaji wa nje MIGA, MSP2. kunyanyua sekta bina...
07/25/2020

TTmedia tutakuenzi kwa yafuatayo kwenye sekta ya utalii.

1. kuwavutia wawekezaji wa nje MIGA, MSP
2. kunyanyua sekta binafsi AGAMA TOURS
3. usuhulishi wa machafuko ya kenya ambayo yange athri utalii wa kaskazini
4. Mamlaka ya serikal TANROAD,TTB
5. Miundo mbinu barabara za kaskaniz ARUSHA TO SERENGETI nothern circuit, Daraja la mkapa
na mengne mengi

pumzika kwa amani mtoto wa lupaso NDANDA (masasi) mr. clean !

Tanzanite is the world's rarest gemstone is only found in the merelani hills near Arusha , Tanzania. Its said to be 1000...
06/26/2020

Tanzanite is the world's rarest gemstone is only found in the merelani hills near Arusha , Tanzania. Its said to be 1000 times rare than diamond

Madini ya tanzanite ni miongoni mwa vito hadimu sana Duniani, yanapatikana katika sehemu za mwinuko za Merelani karibu na Arusha, Tanzania. ni hadimu mara elfu moja zaidi ya Madini ya almasi.

kila ijumaa ndani ya

Despite of global climatic change, Vandalism, poaching, over-visiting of tourists, local community's needs and activitie...
12/24/2019

Despite of global climatic change, Vandalism, poaching, over-visiting of tourists, local community's needs and activities but 60 years to Serengeti NP and Ngorongoro CAA, credit to TZ government, authority, local community .



Licha ya kuwa na changamoto k**a mabadiliko ya tabia nchi, vandalism, ujangiri, kuzidi kwa idadi ya watalii kwenye vivutio na mahitaji & shughuli za jamii zilizo karibu na vivutio lakini kwa uhifadhi imara wa mamlakaSerengeti na ngorongoro zimetimiza miaka 60. Shukran za dhat kwa serikal ya Tanzania, mamlaka, na jamii iliyo karib na vivutio

Does tourism industry accelerate the spread of HIV/AIDs, and if yes what is your opinions .Je ni kwel shughuli za utalii...
12/03/2019

Does tourism industry accelerate the spread of HIV/AIDs, and if yes what is your opinions .

Je ni kwel shughuli za utalii zinapelekea maambukiz ya ukimwi!? Na k**a n kwel nn maoni yako
dunian
Source : Lau C, et al. Croat Med J. 2004.

Mfalme wa pop duniani alikuja Tanzania mwaka 1992 k**a balozi wa UN kwa maswala ya watoto na yatima. Alikaa Dar es salaa...
08/29/2019

Mfalme wa pop duniani alikuja Tanzania mwaka 1992 k**a balozi wa UN kwa maswala ya watoto na yatima. Alikaa Dar es salaam kwa siku mbili katika hoteli ya kilimanjaro ambayo kwa sasa inajulkana k**aHyatt regency. Alikutana na rais wa Tanzania kwa wakati huo alikuwa mh. Ally hassan mwinyi, pia alipanga kwenda mbuga ya wanyama ya Serengeti na eneo la hifadhi ya taifa la ngorongoro ili kutalii kwa kujionea wanyama lakn ilishindikana kutokana na ndege yake binafsi kuwa kubwa zaid na kuwa na idadi ya watu 60 ambao MJ alilazmika kwenda nao kupelekea kutoruhusiwa, siku k**a ya leo 29 august ambao ni siku yake ya kuzaliwa tutaienz kila mara.
Tutakukumbuka daima mfalme wa pop na rnb music
Lakin pia bila kusahau alitia maneno ya kiswahil katika wimbo wake wa liberian girl "Nakupenda pia nakutaka pia mpenziwe.... " " 🇹🇿🇹🇿🇹_________________________________________________________________________

The king of pop" Michael jackson came to Tanzania in 1992 as a UN ambassador for orphans and children issues.Stayed in Dar es salaam for two days at Kilimanjaro hotel and that time, now is famous as Hyatt regency. Met with president at that time hon. Ally hassan mwinyi, He wished to go to Serengeti national park as well as ngorongoro conservation area so as to witness wildlife animals but it was impossible due to his private jet was so big to go to national parks. And was big because there were 60 persons that MJ must go with. On this day of 29 August our condolences are repetitive R.I.P
We will miss you 👑👑👑 king of pop & Rnb music

Also he used Swahili in one of his song Liberian girl "naku penda pia naku taka pia mpenziwe" 🇹🇿🇹🇿🇹

  appealed to Sadc member states to endorse Kiswahili as one of the region’s official language. WHAT DO YOU THINK !!??? ...
08/18/2019

appealed to Sadc member states to endorse Kiswahili as one of the region’s official language.
WHAT DO YOU THINK !!???

MH. Rais amependekeza kwa memba wa SADC kukifanya kiswahili kuwa lugha rasmi ya muunganiko huo wa nchi wanachama SADC
NINI MTAZAMO WAKO !??

Fuvu la zinjanthropus liligunduliwa na watafiti Dk Louis Leakey na mkewe Dk Mary Leakey Julai 17 mwaka 1959 katika bonde...
07/17/2019

Fuvu la zinjanthropus liligunduliwa na watafiti Dk Louis Leakey na mkewe Dk Mary Leakey Julai 17 mwaka 1959 katika bonde la olduvai Ngorongoro, mkoani Arusha limetimiza miaka 60

Address

Greencastle, IN

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Televisheni ya utalii tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share