barakaclassic49

barakaclassic49 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from barakaclassic49, Travel Company, Perth.

28/05/2026
25/05/2026
20/05/2026

Boss kasema WATU WALE!! Kila ijumaa tutakua na huduma ya Biryani special Kwa abiria wetu wanaokata tiketi online πŸ”₯

Unachotakiwa kufanya ni kukata tiketi kupitia tovuti yetu ya www.barakaclassicbus.co.tz tu πŸ˜ƒ Unapata zako Lunch saafi na ka soda πŸ˜‹πŸ˜‹

Karibuni Sana!!

Wahudumu wetu wamebobea na wenye nidhamu ya hali ya juu ambapo watakuhudumia kwa weledi kuanzia mwanzo wa safari mpaka m...
19/05/2026

Wahudumu wetu wamebobea na wenye nidhamu ya hali ya juu ambapo watakuhudumia kwa weledi kuanzia mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari. Karibu usafiri nasi.

18/05/2026

🟦Monday Vibes

🌍Online booking visit www.barakaclassicbus.co.tz

♻️ OTHER ROUTES
1| Mtwara ➺ Dodoma
2| Dar es Salaam ➺ Masasi
3| Dar es Salaam ➺ Tunduru
4| Dar es Salaam ➺ Nachingwea
5| Dar es salaam ➺ Ruangwa
6| Dar Es Salaam ➺ Songea Via LINDI
7| Dar Es Salaam ➺ Songea Via IRINGA

πŸ”Ή In bus services:
πŸ›œ Free WiFi
πŸ†’ Full AC
πŸ“Ί Azam TV on board
πŸ›‚ Better Customer Care
πŸ§‹ Drinks
🚽 Toilet
πŸ’Ί Comfortable Seats

π™ˆπ™–π™¬π™–π™¨π™žπ™‘π™žπ™–π™£π™€
☎️ +255 222 862 992 HEAD OFFICE

Instagram :

Usafiri pendwa kusini na viunga vyake, karibu usafiri nasi na kutuma vifurushi Kwa gharama nafuu na uhakikaπŸ’›
14/05/2026

Usafiri pendwa kusini na viunga vyake, karibu usafiri nasi na kutuma vifurushi Kwa gharama nafuu na uhakikaπŸ’›

12/05/2026

Mamia ya watanzania wanachagua Baraka Classic. Tunajali muda wako, comfort yako na experience yako yote ya safari. Safiri nasi ujionee tofauti ya huduma bora barabarani.

Kata tiketi zetu online kupitia www.barakaclassicbus.co.tz

Leo tunawapongeza wanawake wote wanaoendelea kuleta mwanga, amani na furaha kwenye familia zao. Heri ya Siku ya Mama kut...
10/05/2026

Leo tunawapongeza wanawake wote wanaoendelea kuleta mwanga, amani na furaha kwenye familia zao. Heri ya Siku ya Mama kutoka Baraka Classic.

Kata tiketi mtandaoni kupitia www.barakaclassicbus.co.tz

Address

Perth, WA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when barakaclassic49 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category