10/05/2026
To our Tanzanian customer's ⬇️
🌍✈️ MG TRAVEL AGENCY – TUNATIMIZA NDOTO YAKO YA ULAYA ✈️🌍
Unatamani kutembelea Ulaya? Kuona Belgium 🇧🇪, Netherlands 🇳🇱, France 🇫🇷, Italy 🇮🇹 au Spain 🇪🇸 nk?
Sasa ni wakati wako!
Tunawasaidia wateja wetu kupanga holiday packages za utalii pekee katika bara la Ulaya na Afrika nchi hizi Namibia, Morocco, Zambia,Zimbambwe na Seychelles kwa sasa kwa uaminifu na uwazi mkubwa.
💼 Huduma tutakazokupatia ni :
✔ Mpangilio wa safari (Travel Itinerary)
✔ Ushauri wa safari za utalii
✔ Uthibitisho wa malazi (Accommodation booking)
✔ Mipango ya ndege (Flight reservation)
✔ Mwongozo wa maandalizi ya tourist visa
⚠️ MUHIMU KUFAHAMU:
Hatutoi ajira wala masoko ya biashara****
Hatutoi visa – uamuzi hutolewa na ubalozi husika ( Ubalozi wa Ubelgiji 🇧🇪 Tanzania)
***Tunakusaidia tu kwa maandalizi ya safari yako ya utalii sio vinginevyo.
📌 Vigezo vya visa hutegemea ubalozi, ikiwa ni pamoja na: Uthibitisho wa kazi au biashara
• Uwezo wa kifedha wa safari(bank statement,or enough money to prove to cover your stay.
• Historia ya kurudi nchini(return ticket is must)
• Nyaraka halali za kusafiri(paspoort)
🌟 Safari yako ya kwanza tunashauri iwe nchi 1 au 2 ili kuongeza nafasi ya mafanikio ya kupata visa.
Belgium inawezaa kuwa “starting point” yako Ulaya, kisha unaendelea kutembelea nchi nyingine za Schengen.
Tuna toa huduma hii kwa Safari za kifamilia, safari binafsi na safari za vikundi kulingana na budget ya mteja.
📍 Ofisi yetu ipo Ubelgiji – tunakuhudumia pia kupitia video call popote ulipo duniani 🌍
📧 [email protected]
📱 +32470530232 (WhatsApp)
✨Safari yako ya ndoto ya kutembelea bara la ulaya inaanzia hapa! ✨
Kwa maelezo zaidi tembelea website yetu www.mgtravelagent.com