Addict in travel from America Europe Asia to Tanzania safari

Addict in travel from America Europe Asia to Tanzania safari Am an tour Agent who connect different trips with different companies here in East Africa

22/10/2025

why don't people don't want to talk the truth,I see most of most people want to drag the ball on their side, I do usually wonder how are things sometime operating in this dramatic situation, it's high time guys we should try to check the reality not because of money, or because of a certain party I like chadema and Tundulisu too free him don't put any burden on him.

20/10/2025
20/10/2025

True

19/10/2025

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Serikali kupitia Idara ya uhamiaji iwarejeshee hati zao za kusafiria (passport) Viongozi wa CHADEMA na iwaruhusu kuingia na kutoka Nchini k**a Raia wengine wa Tanzania.

Akiongea leo October 19,2025, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi CHADEMA, Brenda Rupia, ameeleza yafuatayo “Tunafahamu Serikali ya CCM kwa makusudi kabisa bila kueleza sababu, imetoa maelekezo maalum kwa Idara ya uhamiaji kuwazuia Viongozi wa CHADEMA kuondoka Nchini, mtakumbuka May 13,2025 katika uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Dar es salaam, Idara ya uhamiaji ilimk**ata Naibu Katibu Mkuu Bara Aman Golugwa na kuchukua passport yake na hadi leo hawajamrejeshea passport yake”

“Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuitaarifu Serikali ya Kenya, Chama cha ODM kilichokuwa kinaongozwa na Raila Odinga na Wananchi wa Kenya kwa ujumla kuwa Chama chetu hakitoweza kuhudhuria mazishi ya Odinga kwasababu Serikali ya CCM imetuzia kuvuka mpaka wa Tanzania na Kenya”

“Pia July 12,2025 Idara ya Uhamiaji ilinizuia Mimi Brenda Rupia kuvuka mpaka wa Namanga nilipokuwa naelekea Kenya kisha Ujerumani walichukua passport yangu na hadi leo hawajanirejeshea passport yangu, pia alizuiliwa Mtaalamu wa rasilimali, miradi na uwekezaji Leonard Magele kwenda Uingereza kudhuhuria semina ya uwekezaji hadi leo hajarudishiwa passport yake”

“Tunataka Idara ya uhamiaji kupitia Serikali yake ya CCM iturejeshee passport zetu mara moja kwakuwa ni haki yetu ya kikatiba kwamba Mwananchi yeyote ana haki ya kutoka na kuingia nchini, k**a tunafuata sheria na kanuni za nchi hii kwanini tunazuiwa kutoka na kuingia nchini?” ——— Brenda Rupia.

13/10/2025

We love and appreciate for being loyal showing us the spirit of coming back

Address

Kilimani

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Addict in travel from America Europe Asia to Tanzania safari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Addict in travel from America Europe Asia to Tanzania safari:

Share

Category