Emmanuel Rigo tours and safari's

Emmanuel Rigo tours and safari's bei pure nature gibt es fur Sir ihre individullen safari.

emmanuelrigotours and safaris in kenia,erleben Sir auf einer individullen safari in kenia,den traum von Africa!

10/12/2019
17/11/2019

POLE ANNA...
Baba,Mama na Wadogo zake watatu walifariki dunia wakati wanakwenda kwenye mahafali yake ya kuhitimu kidato cha nne katika shule ya Sekondari,Mother Theresa of Calcuta,iliyopo Mkoani Kilimanajaro...
Wakiwa njiani kuelekea katika mahafali ya mtoto wao,Baba aitwae Lingston Zambi na Mama aitwae Winfrida Lymo,pamoja na watoto wao,Lulu,Andrew na Grace,walipata ajali baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wilayani Handeni Mkoani Tanga,na hapo ndipo uhai wa wazazi wake na ndugu zake watatu ulikoma...
Baada ya Vifo hivi kutokea,binti mdogo aitwae Anna Zambi mwenye umri wa miaka 16 (Pichani) hakuelezwa chochote kuhusu vifo vya wazazi wake na ndugu zake watatu,hadi alipomaliza mitihani yake ya kidato cha nne.

Anna Amefahamishwa haya baada ya kuwasili nyumbani kwao Goba jijini Dar es Salaam majira ya saa 10:30 Alfajiri ya leo Novemba 16,2019 ndipo akafahamu kwamba Baba,Mama na Wadogo zake,hawatakua nae tena ulimwenguni baada ya vifo hivyo..
Pole Anna

Great of severine enjoy the nature walk for the small big five antelope
05/11/2019

Great of severine enjoy the nature walk for the small big five antelope

Visit tsavo west national for enjoyable Safari and adventure
05/11/2019

Visit tsavo west national for enjoyable Safari and adventure

Tukakaribia kiti Cha neema kwa ujasiri,ilitupewe rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati was mahitaji WAEBRANIA 4-16
08/10/2019

Tukakaribia kiti Cha neema kwa ujasiri,ilitupewe rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati was mahitaji WAEBRANIA 4-16

25/09/2019
21/09/2019

Address

Mombasa-malindi-nairobi
Nairobi
80109

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmanuel Rigo tours and safari's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Emmanuel Rigo tours and safari's:

Share

Category