05/08/2026
TEACHING THE NEXT GENERATION ๐๐
Local Ocean Conservation inaanza na watoto
Leo tumewapeleka watoto Mangrove Tour
Wamejifunza kwa nini mikoko ni muhimu:
โ
Inalinda pwani
โ
Nyumba ya samaki
โ
Inapambana na climate change
Tuilinde asili kwa ajili yao!
Book an educational boat tour: 0794290947