
16/08/2025
Huduma nzuri huanza na watu bora. Hawa ni miongoni mwa watu wetu wa Arusha Branch walioko bega kwa bega na wenzao kuhakikisha abiria wanapata huduma ya kipekee. Loliondo Coach ni familia pana inayoshirikiana kwa lengo moja tu ambalo ni kukuhudumia wewe. Karibu usafiri nasi.
Safari zetu za kila siku:
>ARUSHA-MWANZA
>ARUSHA-TARIME
>MOSHI-MUSOMA
>ARUSHA-LOLIONDO
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo kulingana na mkoa👇🏿
ARUSHA : 0759 871 671
MOSHI: 0698 123 555
BABATI : 0685 931 120
SHINYANGA: 0755 629 761
MWANZA NYEGEZI: 0746 837 050
MWANZA NATA: 067 745 9677
MWANZA IGOMA: 0743 234 815
TARIME : 0653 791 708
MUSOMA : 0653 791 596
BUNDA : 0653 791 689
CALL CENTER: 0755 555 529
Online Booking 🌐
www.loliondocoach.co.tz
Get to know the difference while travelling with us🥳