27/05/2025
Ni mwaka Mmoja sasa tangu mke wangu mpenzi Elly David Maro ulipotutoka kwa kifo Cha kuuwawa na maajambazi huko Dumila Morogoro. Tunakuombea kwa Mungu mwenyenzi akupokee katika kiti chake Cha enzi tunaamini ipo siku tutaonana tena
Mimi baba Davi na mwanetu David tunakukumbuka sana ila tunaamini siku Moja tutaonana tena