Transtreck african safaris end eco ltd

Transtreck african safaris end eco ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Transtreck african safaris end eco ltd, Tour Agency, Arusha-Moshi Road, Arusha.

23/12/2024
HAYA NI MAMBO 25 AMBAYO HUJAWAHI KUYAJUA KUMHUSU PAKA1) K**a ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesaj...
02/04/2024

HAYA NI MAMBO 25 AMBAYO HUJAWAHI KUYAJUA KUMHUSU PAKA

1) K**a ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka duniani

2) Paka wengi ni mashoto kwa maana miguu yao ya kushoto ndio hutawala katika shughuli zao nyingi

3) Siku zote paka ni wapole. ..hawapigani kwa ajili ya kuonyesha umwamba wao ukimuona paka anapigana ujue anapigania haki yake hasahasa kulinda himaya yake....

4) Watu wa zamani wa Misri walikuwa wakinyoa nyusi zao ilikuonyesha majonzi Iwapo paka wao wa nyumbani atafariki

5) Uwezo wa paka kunusa ni mara 14 zaidi ya uwezo wa binadamu

6) Paka anaweza kuruka hadi futi 8 kwenda juu...anaweza kuruka mara sita ya urefu wa mwili wake

7) Paka ana akili nyingi kuliko mbwa kwa sababu paka ana zaidi ya neurons million 300 wakati mbwa ana neurons million 160 huku binadamu akiwa na zaidi ya neurons bilion 80 (hizo neurons bilion 80 kwa binadamu ni asilimia Kati ya 10-20 ya akili ya binadamu)

8) Paka anaweza kuishi hadi miaka 30 ...Hadi sasa paka anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuishi umri mrefu ni Paka Creme Puff aliyeishi miaka 38 na siku 3 ...paka huyo aliishi huko Texas nchini marekani

9) Paka anavyolia nyau (Meous) huwa anawasiliana na binadamu pekee ...wao wenyewe kwa wenyewe hawawasiliani kwa kulia nyau (meous)

10) Paka huweza kujitibu majeraha kwa kukoroma (purring) ... Paka wa nyumbani huweza kuzalisha frequency Kati ya 25 hadi 150 hertz ...Kwa kiwango hiko kinaweza kusaidia mifupa na misuli kukua vizuri na pia kujitibu yenyewe

11) Paka hawezi kuhisi ladha ya utamu

12) Mapigo ya moyo ya Paka yanapiga mara mbili zaidi ya Mapigo ya moyo ya binadamu kwa Paka ndani ya dakik 1 hupiga kati ya 110 -140 wakati kwa binadamu ndani ya dakik 1 hupiga kati ya 60 hadi 100

13) Mwaka 2004 wana akiolojia kutoka ufaransa waliweza kugundua kaburi (mifupa) ya paka inayokadiriwa kuwa ni ya zaidi ya miaka 9500 huko nchini Cyprus.... Hapo awali watu waliamini kuwa paka walianza kuishi nchini misri

14) Paka Stubb alishawahi kuwa meya wa Talkeetna kwa miaka 20... Talkeetna ni mji mdogo wa Alaska ....Kwa Miaka 20 alikuwa anakosa Mpinzani wa kugombea nae... Japo paka huyo Hakuwa anashika madaraka ya kiutawala lakini alikuwa anapendwa tu na watu wa Talkeetna

15) Paka mrefu (longest) zaidi duniani ni Stewie alikuwa na urefu wa inchi 48.5 wakati paka mrefu kwenda juu (tallest) zaidi duniani ni Arcturus alikuwa na urefu wa kwenda juu wa inchi 19.05

16) Asilimia 70 ya maisha ya paka wanayatumia kwa kulala... ( Kwa mfano k**a paka ataishi miaka 10 Basi miaka 7 ataitumia kwa kulala)

17) Paka anayeshikilia rekodi ya utajiri zaidi duniani ni Paka Blackie...utajiri wa paundi million 7 ...ambazo k**a tutazibadili kwa thamani ya pesa ya Tanzania ya sasa ...tunaweza kusema kuwa paka huyo alikuwa na zaidi ya utajiri wa Billion 20 na million 900

18) K**a hujawahi kumuona Twiga akitembea au k**a hujawahi kumuona Ngamia akitembea Basi kamuangalie Paka akitembea... Namna paka anavyotembea ni sawa na Ngamia anavyotembea au namna Twiga anavyotembea
kwahyo badala ya kusema mtoto ana mwendo wa Twiga Unaweza kumwambia tu kuwa mtoto ana mwendo wa paka 🤣🤣

19) Mwaka 1963 ndio paka wa kwanza duniani alikwenda angani... Paka huyo aliitwa Felicette ndio alikuwa paka wa kwanza na wa pekee kwenda angani

20) Kwa asilimia 80 maumbile ya paka yanafanana na Chui... Lakini pia baadhi ya tabia za paka hufanana na chui

21) Paka Ana speed ya 30mph wakati chui ana speed ya 40 mph Binadamu ana speed ya 28mph (hapo wameangaliwa akina Usain Bolt sio wewe kibonge 🤣🤣🤣🤣🤣 )

22) Paka ana mifupa 230 wakati binadamu ana mifupa 206

23) Paka anaweza kupata mimba akiwa na umri wa miezi minne

25) Paka alianza kuishi majumbani zaidi ya miaka 3600 BC

15/12/2022

My elibariki I'm a Tanzanian tour operator/ guide with experience over more than 7 years.
I decided to start as a Tour Operator because I want to offer my clients the best quality safaris for a good price. I like to make fun with my clients and to teach them all about wildlife and culture in Tanzania.
I'm ready to go, so I hope you'll join me.

Address

Arusha-Moshi Road
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Transtreck african safaris end eco ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share

Category