06/06/2024
Wapendwa marafiki zangu wa facebook,kuanzia jana usiku nimeshindwa kuingia Katina account yangu ya face book mpaka leo asubuhi ndiyo nimefanikiwa tena kuingia,hata hivyo nimekuwa na mashaka sana pengine account yangu imedukuliwa kutokana na ongezeko kubwa la hawa wadukuzi ambao hutumia account za watu kuomba pesa ama misaada mbalimbali
Kwahiyo ningeomba endapo imetokea umeandikiwa ujumbe wa kuombwa chochote kupitia account zangu ningeomba uwasiliane na mm moja kwa moja kupitia no hizi 0763859885 au0683815236 jina lazima lije Karim Omary kwa njia ya WhatsApp na hata kunipigia kabisa
Asanteni.