Royaltourtz

Royaltourtz CHANELI YAKO YA DIJITALI !

Every journey deserves reliability, power, and style and that’s exactly what our Land Cruiser conversions deliver.  From...
24/08/2025

Every journey deserves reliability, power, and style and that’s exactly what our Land Cruiser conversions deliver.

From rugged terrain to serene stops under the side awning*, Hanspaul Automechs Limited ensures you're always a step ahead.

Conquer the wild. Rest in comfort. Explore in style.

HANSPAUL AUTOMECHS ! A step ahead of the rest.















Wizara ya Madini imetangaza kusogeza mbele Mkutano wa Saba (7) wa  Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini uliokuw...
24/08/2025

Wizara ya Madini imetangaza kusogeza mbele Mkutano wa Saba (7) wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini uliokuwa ufanyike mwezi Novemba 2025 na badala yake mkutano huo utafanyika tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar EsSalaam.

Taarifa iliyotelewa na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Eng. Yahya Samamba imeleza sababu za kusogezwa kwa mkutano huo kuwa ni kupisha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa nchini uliopangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba, 2025.

‘’Wizara ya Madini inaomba radhi kwa wadau wote wa ndani na nje ya nchi waliokuwa wanatarajia kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini ambao ulipangwa kufanyika Novemba 2025,’’ imeeleza taarifa hiyo.

Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini unaofanyika kila mwaka tangu 2019 ukibebwa na kaulimbiu mbalimbali, hutumika k**a jukwaa la kujadili kwa pamoja mstakabali wa Sekta ya Madini, kubadilishana ujuzi, maarifa na uzoefu pamoja na kuangazia fursa mpya zinazojitokeza katika Sekta ya Madini nchini.

Vilevile, mkutano huo hutumika kuimarisha mazingiraya uwekezaji, kuendelea kuvutia uwekezaji mpya kutoka ndani na nje ya nchi, wadau kupata fursa ya kujifunza Sera, Sheria na mikakati mipya ya Serikali na kujadili kwa pamoja masuala ya kisheria na uchumi yanayohusiana na Sekta ya Madini.

Mbali na hayo, kupitia hafla ya Usiku wa Madini ambayo huambatana na mkutano huo, hutumika kutoa tuzo kwa wadau waliofanya vizuri katika Sekta ya Madini kupitia vipengele mbalimbali ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wao kwa Sekta ya Madini nchini.







Step into a world of untamed beauty where elephants roam free, lions rule the savannah, and breathtaking landscapes stre...
24/08/2025

Step into a world of untamed beauty where elephants roam free, lions rule the savannah, and breathtaking landscapes stretch as far as the eye can see.

Mikumi National Park offers an unforgettable safari experience just a few hours from Dar es Salaam.

*Your adventure begins here – Karibu Tanzania!

Under the Ministry of Natural Resources and Tourism, and coordinated by the Tanzania Tourist Board, a group of Russian t...
23/08/2025

Under the Ministry of Natural Resources and Tourism, and coordinated by the Tanzania Tourist Board, a group of Russian travel agents and media representatives recently explored the cultural richness of Iringa City.

Their tour featured the iconic Iringa Boma Regional Museum and Cultural Centre a vibrant hub preserving the traditions and heritage of the Southern Highlands.

The experience continued with a guided tour through Iringa’s historic streets, revealing colonial charm, stunning highland views, and the pulse of local Tanzanian life.

This initiative strengthens cultural tourism ties and positions Iringa as a must visit destination for international travelers.

Mikumi National Park is the place to be stunning landscapes, rich wildlife, and unforgettable safari moments await you. ...
23/08/2025

Mikumi National Park is the place to be stunning landscapes, rich wildlife, and unforgettable safari moments await you.

Discover the wild heart of Tanzania today!

Leo Jumamosi, Hifadhi ya Taifa ya Mikumi imevutia idadi kubwa ya watalii wa ndani na nje ya nchi!  Mazingira ya asili, w...
23/08/2025

Leo Jumamosi, Hifadhi ya Taifa ya Mikumi imevutia idadi kubwa ya watalii wa ndani na nje ya nchi!

Mazingira ya asili, wanyama wa kuvutia na huduma bora vimeifanya Mikumi kuwa kivutio cha kipekee leo!

Karibu nawe ujionee uzuri wa Tanzania kwa macho yako!

* *

Live action now unfolding at Benjamin Mkapa Stadium as *Tanzania’s Taifa Stars battle  Morocco* in a high stakes CHAN 20...
22/08/2025

Live action now unfolding at Benjamin Mkapa Stadium as *Tanzania’s Taifa Stars battle Morocco* in a high stakes CHAN 2025 quarterfinal clash!

Feel the energy, witness the passion, and stand with the Stars as they fight for national glory!

Let’s go Tanzania! 🇹🇿🔥

*








**

Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika H...
22/08/2025

Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita, ili kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML). Hatua inayoleta suluhu ya mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 26.

Akizungumza Agosti 21, 2025 Mkoani Geita, Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde, amesema Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa ikifuatilia kwa karibu changamoto za wananchi wa Geita na kutoa maelekezo mahsusi kuhakikisha zinatatuliwa kwa ufanisi.

“Nawashukuru sana wananchi kwa uvumilivu wenu kwa zaidi ya miongo miwili. Leo hii tunatangaza suluhu ya mgogoro huu kwa sababu Serikali yenu inawajali na Rais wetu amekuwa mstari wa mbele kutaka wananchi wapate haki zao bila usumbufu,” amesema Waziri Mavunde.

Mhe. Mavunde amebainisha kuwa GGML wameridhia kuanza mchakato wa kuwalipa fidia wananchi wa eneo la Nyakabale na Nyamalembo kwa mujibu wa utaratibu ili kupisha shughuli za mgodi. Amesema kuanzia kesho Agosti 22, 2005, timu ya wataalamu wa Serikali itaanza kazi ya uthamini wa mali, na ndani ya siku 40 tathmini hiyo itakamilika ili wananchi waweze kulipwa stahiki zao.

Aidha, Waziri ameeleza kuwa, mgogoro huo ulikuwa na hoja 13 za msingi ambazo zilihitaji kushughulikiwa, ambapo ndani ya mwaka mmoja na miezi mitatu Serikali kwa kushirikiana na wadau imefanikiwa kutatua hoja 10 kati ya hizo na hatimaye leo kutatua hoja nyingine mbili.

Aidha, Waziri Mavunde ameeleza kuwa, katika jitihada hizo, GGML imekubali kurekebisha mipaka yake ya leseni ya uchimbaji lna kuliachia eneo linalobaki kwa ajili ya wakazi wa maeneo hayo.

* *

21/08/2025

Victory Is a Must! 🇹🇿🔥 Tanzania vs Morocco CHAN Quarter Final Showdown!

All eyes on Benjamin Mkapa Stadium It’s more than a game, it’s pride, it’s passion, it’s Tanzania!

Step into a world where wildlife roams free, landscapes leave you breathless, and nature tells ancient stories. The Ngor...
21/08/2025

Step into a world where wildlife roams free, landscapes leave you breathless, and nature tells ancient stories. The Ngorongoro Crater, a UNESCO World Heritage Site, is one of the most spectacular safari destinations on Earth.

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya utafiti na uchambuzi wa madini kati...
21/08/2025

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya utafiti na uchambuzi wa madini katika mkoa wa Geita ni hatua kubwa itakayosaidia kuwainua wachimbaji wa madini Kanda ya Ziwa na kuimarisha mchango wa Sekta ya Madini katika uchumi wa taifa.

Akizungumza leo Agosti 21, 2025 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa maabara hiyo, Mhe. Mavunde amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukubali ombi la Wizara la kujenga maabara tatu za kisasa nchini.

Amesema mbali na maabara hiyo inayojengwa Geita itakayogharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.5, maabara nyingine itajengwa Chunya mkoani Mbeya na maabara kubwa zaidi kimataifa itajengwa jijini Dodoma.

“Maabara hizi zitakuwa nguzo ya utafiti wa kisayansi wa sampuli za madini, kuongeza ufanisi wa wachimbaji wadogo na kupunguza gharama na usumbufu wa kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hizi, zitakuwa na vifaa vya kisasa zaidi” amesema Mavunde.

Kwa mujibu wa Waziri Mavunde, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ndiyo moyo wa shughuli za madini hapa nchini kupitia kazi ya utafiti wa kijiolojia, hivyo kuanzishwa kwa kituo hicho kutasaidia kuchochea shughuli za madini hususan katika Ukanda wa Ziwa ambao unaongoza kwa shughuli za uchimbaji hapa nchini, zikiwemo mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama, Mara na Shinyanga.

“Kwa mwaka uliopita pekee, sekta ya madini ilikusanya maduhuli shilingi bilioni 328 kutoka Mkoa wa Kimadini ya Geita, jambo linaloonesha mchango mkubwa wa ukanda huu katika pato la taifa na ndiyo maana uwekezaji huo umefanywa na Serikali hapa” amesisitiza Mavunde.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martin Shigella, amesisitiza kuwa maabara hiyo itapunguza muda na gharama kwa wananchi waliokuwa wakilazimika kusafiri hadi Dodoma kufuata huduma hizo.















Who will make it to the semis? Stay tuned and support your team!
21/08/2025

Who will make it to the semis? Stay tuned and support your team!










Address

Arusha-Moshi Road
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Royaltourtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share