
18/02/2023
Chef ni k**a fundi selemara
Fundi selemara ana vifa vyake
Yeye ana pewa materials
Chef anajuwa na vifa viyake
Vifaa chef anatembeya nazo ni visu
See any professional chef
Ana vifaa zake ni visu.
Lakini wako wengi kweye hiyo fani .
Hata seti ya visu hana
Hana hata joho.
Kila kitu anatakiwa anunuliwe .
Wakati ninkwenye mkataba.
Kila kitu mteremko