09/07/2026
Is a trading brand of Hashtag Investment Group Limited, The Company that Facilitates
Tour Operations, Car Hire and Air Ticket in customized mid-range and luxury itineraries to destinations in Africa in Partnership or Joint Venture with Government or Other Stakeholders.
Ni Chapa ya kibiashara ya Hashtag Investment Group Limited, Kampuni inayoratibu uendeshaji wa safari za kitalii, Ukodishaji Magari, Tiketi za Ndege katika ratiba za katikati na anasa kwa vituo vya Africa katika Mikataba ya Pamoja au Kuunganisha Makampuni na Serikali au Wadau wengine.