17/04/2026
Mh. Dkt Ashatu Kijaji, Waziri wa Maliasili na Utalii na Mlezi wa amekuwa Waziri wa Kwanza kutembelea kambi ya katika eneo la lililopo ndani ya mamlaka ya hifadhi ya na kukutana na washiriki, pia akihamasisha tour guides kushiriki mafunzo wa waongoza watalii yatakayo fanyika jijini kuanzia tarehe 18 Aprili katika ukumbi wa Mahakama
Ya Afrika ya Mashari,
Huu ni mwedelezo wa kuwajenga watao huduma ya ukarimu Tanzania hususani tourguides kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa huduma na kuinadi Tanzania katika viwango bora zaidi.
Safari Field Challenge 2026 inaendelea hapa Ndutu kwa kushirikiana na