ITravel & Tours

ITravel & Tours With experienced and professional Staff in travel and leisure management, I Travel and Tours is one

16/08/2026

iTravel & Tours HAJJ & UMRAH
KUMEKUCHA
Taasisi ya ITravel Hajj And Umrah inaanza Safari zake za Kanda ya Ziwa kwaajili kuhamasisha Ibada ya Hijja kwa Maeneo ya Fuatayo:-
1. Tarehe 21-23/08/2026 KYERWA
2. Tarehe 24/08/2026 MISENYI (MUTUKULA)
3. Tarehe 25/08/26 KYAKA/KATORO
4. Tarehe 26/08/26B KEMONDO
5. Tarehe 27-28/08/2026 MULEBA
JIUNGE NASI KWA TAARIFA, ELIMU NA MAELEKEZO YA
IBADA YA HIJJA
MSAFARA UTAONGOZWA NA:-
1. SHEIKH.TWAHA BANE.
2. SHEIKH ABDULHAMID RWEZAURA
3. SHEIKH JUMA KIJEPA
4. SAIMU GWAO
MAWASILIAΝΟ
0788 300 500 / 0765 300 010 / 0784 257 526

16/08/2026

Viongozi wa Taasis za Hijja ( TAHAFE) na viongozi kutoka UHAMIAJI walipotembelea Banda la iTravel katika Kongamano la Taasisi za Hijja

16/08/2026

Hivi ndio Banda la iTravel lilivyotembelewa na Waumini wakati wa Kongamano la Taasisi za Hijja

16/08/2026

Muda unaenda k**a unataka kusafiri
na iTravel kwenda kufanya ibada
ya Hijjah 2027 basi fika ofisini kwetu
ujiandikishe mapema

Karibuni katika Banda letu hapa katika kongamano la Hijja linalofanyika hapa Lamada Hoteli ilala Jijini Dar es salaam.kw...
16/08/2026

Karibuni katika Banda letu hapa katika kongamano la Hijja linalofanyika hapa Lamada Hoteli ilala Jijini Dar es salaam.
kwa safari ya Hajj na Umrah
karibu ofisini kwetu tukuhudumie
0765 300 010/0788 300 500/ 0784 257 526
Nyumba No. 11, Pemba Street/Livingstone,
Kariakoo, Dar es salaam, Tanzania.

14/08/2026

Hizi ni faida ambazo uwezi kupata mpaka ufanye Ibada ya Hijja au Umrah.
kwa safari ya Hajj na Umrah
karibu ofisini kwetu tukuhudumie
0765 300 010/0788 300 500/ 0784 257 526
Nyumba No. 11, Pemba Street/Livingstone,
Kariakoo, Dar es salaam, Tanzania

13/08/2026

Furahia mapumziko ya siku mbili jijini Muscat baada ya ibada bila gharama ya ziada Bure, Ukilipia Umrah ya Mwezi wa 12.
kwa safari ya Hajj na Umrah
karibu ofisini kwetu tukuhudumie
0765 300 010/0788 300 500/ 0784 257 526
Nyumba No. 11, Pemba Street/Livingstone,
Kariakoo, Dar es salaam, Tanzania

13/08/2026

iTravel Hajj and Umrah inawakaribisha kwenye kongamano la Hijja Tar 16/8/2027, Ramada Ilala,Dar es Salaam.
kwa safari ya Hajj na Umrah
karibu ofisini kwetu tukuhudumie
0765 300 010/0788 300 500/ 0784 257 526
Nyumba No. 11, Pemba Street/Livingstone,
Kariakoo, Dar es salaam, Tanzania

10/08/2026

Hijja ni nguzo ya tano ya Uislamu. Imefaradhishwa mara moja katika maisha kwa kila Muislamu aliyebalehe, mwenye akili, aliye huru, na mwenye uwezo wa kifedha na kiafya.

Address

Pemba, Livingstone Street
Dar Es Salaam
11106

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255718300010

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ITravel & Tours posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ITravel & Tours:

Shortcuts

Share

Category