Twenzao

Twenzao Twenzao ni app inayomuunganisha mwenye gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo mmoja, app inapatikana Play Store na App Store.

Unasafiri kwa gari binafsi mpya na dereva tunayemuamini, halafu bei nafuu kuliko ya basi. Safari unaibuku kupitia app ya...
17/03/2024

Unasafiri kwa gari binafsi mpya na dereva tunayemuamini, halafu bei nafuu kuliko ya basi. Safari unaibuku kupitia app ya Twenzao, app inapatikana Google Play Store na App Store.
Unatafuta safari ya wapi tuifanyie kazi?

K**a yeyote kati ya safari hizi inakuhusu, wahi kuibuku sasa kwenye app ya Twenzao usafiri kwa starehe ya gari binafsi k...
11/03/2024

K**a yeyote kati ya safari hizi inakuhusu, wahi kuibuku sasa kwenye app ya Twenzao usafiri kwa starehe ya gari binafsi kabla haijajaa! πŸš™πŸ’¨

Safari zinazotafutwa zaidi kwa sasa na abiria kwenye app ya Twenzao ni za kutoka   na    kuelekea  , k**a unaendesha gar...
26/02/2024

Safari zinazotafutwa zaidi kwa sasa na abiria kwenye app ya Twenzao ni za kutoka na kuelekea , k**a unaendesha gari binafsi kwenye ruti hii, posti safari yako kwenye app upate abiria chap.

Kwa maelezo zaidi tupigie 0624 700 100.
23/02/2024

Kwa maelezo zaidi tupigie 0624 700 100.

Popote pale alipo - mfuate! Usichukulie poa kwamba hauko pamoja na bebi wako kwenye hii siku muhimu πŸ’ Hata k**a hasemi, ...
12/02/2024

Popote pale alipo - mfuate! Usichukulie poa kwamba hauko pamoja na bebi wako kwenye hii siku muhimu πŸ’ Hata k**a hasemi, atafurahi endapo ukiwa pamoja nae. Ukimuacha mpweke halafu Yahaya akajitokeza akala naye hata chipsi kavu 🍟, ndugu utapoteza! Dada zangu, au nadanganya? πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
Taja kwenye comment mkoa gani bebi wako yupo tuangalie uwezekano wa kuhakikisha safari za kwenda huko zinapostiwa kwenye app ya Twenzao usafiri usiwe kisingizio πŸš™πŸ’˜

10/02/2024

Huu unaitwa msimu wa wenye magari kututesa sisi wengine! 😍 Eti wanapoendesha magari yao kwenye safari za mkoani, wanaziposti kwenye app ya Twenzao, halafu huko wanakutana na watu mbalimbali - wenye nyota zao wanapata hadi wachumba! πŸ’˜πŸŒΉAma kweli, mkono mtupu haulambwi, twenzaoooo! πŸš™πŸ’

29/01/2024

Twenzao, achana na stress za mafuta ya gari lako πŸš™
Kwa maelezo zaidi tupigie 0624 700 100.

Mwaka umeanza kwa kishindo, watu wanarejea makao makuu Dodoma kuchapa kazi, letu ni kuwaunganisha tu wenye magari binafs...
02/01/2024

Mwaka umeanza kwa kishindo, watu wanarejea makao makuu Dodoma kuchapa kazi, letu ni kuwaunganisha tu wenye magari binafsi na abiria. Huu hapa mfano wa safari nzuri, k**a inakufaa wahi kuibuku kwenye app ya Twenzao kabla haijajaa πŸš™

27/12/2023

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twenzao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category