27/03/2026
Tunakodisha aina mbalimbali za magari kwaajili ya matumizi ya taasisi na watu binafsi (chauffeured and self-drive) gharama zetu ni rafiki na huduma ni ya uhakika wakati wote. Wasiliana nasi kwa +255685492967 au [email protected] kwaajili ya bookings.