Vivutio Vya Utalii- Tanzania

Vivutio Vya Utalii- Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Vivutio Vya Utalii- Tanzania, Tourist Information Center, Dar es Salaam.

Fursa hii sasa  Moshi - 26.12.2023 - Maombi ya Mabanda Yamefunguliwa RASMI! Nafasi ni CHACHE. Join us - call 0714531002
25/10/2023

Fursa hii sasa
Moshi - 26.12.2023 - Maombi ya Mabanda Yamefunguliwa RASMI! Nafasi ni CHACHE. Join us - call 0714531002

Uzuri wa Zanzibar - TanzaniaHenry SamuelTanzania Wildlife Management AuthorityTanzania Wildlife Management Authority - T...
20/10/2023

Uzuri wa Zanzibar - Tanzania

Henry Samuel
Tanzania Wildlife Management AuthorityTanzania Wildlife Management Authority - TAWATAWA
Kareni Vita


Utakapo kwenda na Mimi nipo πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
16/10/2023

Utakapo kwenda na Mimi nipo πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ


Maporomoko ya maji -. Kalambo Huko Rukwa
14/10/2023

Maporomoko ya maji -. Kalambo Huko Rukwa



LAKE NGOZI MBEYA πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
13/10/2023

LAKE NGOZI MBEYA πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


KIJUE KIVUTIO CHA MPANGA-KIPENGERE NDANI YA NJOMBE  Mpanga-Kipengere  ni eneo la  hifadhi ya akiba lililoko katika Mkoa ...
12/10/2023

KIJUE KIVUTIO CHA MPANGA-KIPENGERE NDANI YA NJOMBE
Mpanga-Kipengere ni eneo la hifadhi ya akiba lililoko katika Mkoa wa Njombe katika Milima ya Kusini, Tanzania. Ina eneo la 1,574 km2 na kutoka usawa wa Bahari ni mita 1,800 hadi 2,289.
Mbali na uhifadhi wa wanyama pori, hifadhi hii ni chanzo muhimu cha vyanzo vya mito kadhaa inayomwaga maji yake Mto Ruaha Mkuu na kutoa maji kwa maeneo ya Usangu .
Unaweza kutembelea Mpanga-Kipengere Kwa kumbukumbu ya kipekee isiyo sahaulika pamoja na kupiga Picha Kibao sanah πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni mahali pazuri kwa wapenzi wa maeneo ya Asili na wanaopenda kutembea na kufurahia madhari nzuri na ya kipekee huku akishuhudia wanyamapori ambao Mungu katupatia.
Mpanga-Kipengere iko chini ya Mamlaka ya Wanyamapori ya Tanzania (TAWA).
Karibu Njombe na Karibu Tanzania.
ViVisit katavi national parkaVisit katavi national parkaVisit katavi national parkark
KaKareni Vitaita
TaTanzania Wildlife Management Authority - TAWAiTanzania Wildlife Management Authority - TAWAaTanzania Wildlife Management Authority - TAWAuTanzania Wildlife Management Authority - TAWATanzania Wildlife Management Authority - TAWAWA
ViVivutio Vya Utalii- TanzaniayVivutio Vya Utalii- TanzaniatVivutio Vya Utalii- Tanzanianzania


HIFADHI YA TAIFA -  KATAVI  Miongoni mwa wanyama wanaopatikana Katika Hifadhi ya Taifa - Katavi kiukweli Tanzania tumeba...
11/10/2023

HIFADHI YA TAIFA - KATAVI
Miongoni mwa wanyama wanaopatikana Katika Hifadhi ya Taifa - Katavi kiukweli Tanzania tumebarikiwa



Katavi National Park
Visit katavi national park
Vivutio Vya Vivutio Vya Utalii- TanzaniaTanzania
Aklan State University

Mhadzabe mwamba k**a mwamba πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
10/10/2023

Mhadzabe mwamba k**a mwamba πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vivutio Vya Utalii- Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share