Faith loyal ltd

Faith loyal ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Faith loyal ltd, Travel Company, Dar es Salaam.

26/04/2022

tunaendelea kupokea mizigo ndege inaondoka tarehe 28 inawasili 30/4/2022

26/04/2022

tunaendelea kupokea mizigo ndege inaondoka tarehe 28 inaingia tarehe 30 mzigo ofisini umewasili

KUMEKUCHAAAA faith loyal tuko ofisini tayari kukuhudumia tutume sisi  sasa.Jiandae na biashara jiandae na sikukuu tuagiz...
08/11/2021

KUMEKUCHAAAA
faith loyal tuko ofisini tayari kukuhudumia tutume sisi sasa.Jiandae na biashara jiandae na sikukuu tuagize china tukusafirishie

CHAGUA FAITH LOYAL TEAM YA USHINDI
06/11/2021

CHAGUA FAITH LOYAL TEAM YA USHINDI


05/11/2021

tukabidhi faith loyal jukumu la kutoa mzigo wako
China hadi Tanzania haraka , nafuu na kwa usalama


Usafirishaji wa ndege ni mgumu zaidi kuliko inavyosikika. Kwanza, unaweza kutuma usafirishaji wako kwa njia mbili - k**a...
04/11/2021

Usafirishaji wa ndege ni mgumu zaidi kuliko inavyosikika. Kwanza, unaweza kutuma usafirishaji wako kwa njia mbili - k**a shehena ya anga au k**a mjumbe wa anga.

Express: Hii ndiyo njia ya haraka na ya gharama kubwa zaidi ya kusafirisha mizigo ya anga. Watoa huduma huhakikisha huduma ya haraka, kwa bei inayolipishwa. Sehemu ya shehena ya anga ya inaunda 2% tu ya soko la kimataifa lakini ni moja ya inayokua kwa kasi, kulingana na Sera ya Kitaifa ya Usafirishaji wa Hewa iliyotolewa mnamo 2019.

Kawaida:
Hii ndiyo huduma ya kawaida zaidi. Usafirishaji unaweza kusimama kwenye uwanja wa ndege mmoja au viwili, ambapo unaweza kuhamishiwa kwa ndege nyingine au ambapo shehena nyingine inaweza kupakiwa au kupakiwa.

Kusikilizia:
Huduma hii inaruhusu wasafirishaji kuahirisha usafirishaji ambao sio kipaumbele cha juu hadi nafasi ipatikane kwenye ndege. Inatoa uokoaji bora wa gharama kwa sababu ya muda mrefu wa usafiri na, pengine, vituo vingi.

Mkataba:
Ikiwa unahitaji kuhamisha kiasi kikubwa cha mizigo kwa haraka, unaweza kukodisha ndege. Hii ni njia ya haraka lakini ya gharama kubwa ya kusafirisha kwa ndege.

03/11/2021

safirisha na faith loyal cargo

yes unaagiza china tunaleta unachoitaji muda sahihi kabisa karibu faith loyal
28/09/2021

yes unaagiza china tunaleta unachoitaji muda sahihi kabisa karibu faith loyal

ni jumatatu  swafiii faith tunauliza swal moja tuu umejipangaje wiki hii unasafirisha mzigo gani ? ofis zetu zipo tayari...
27/09/2021

ni jumatatu swafiii faith tunauliza swal moja tuu umejipangaje wiki hii unasafirisha mzigo gani ? ofis zetu zipo tayari kukuhudumia 24/7 tujaribu leo

kila bidhaa ina muundo na mfumo wake wanamna ya kuuhifadhi  na kuutunza kipind tunasafirisha  faith loyal  huwa tunajali...
23/09/2021

kila bidhaa ina muundo na mfumo wake wanamna ya kuuhifadhi na kuutunza kipind tunasafirisha faith loyal huwa tunajali na kuzingatia sana masharti ya mzigo karibu faith loyal 🇨🇳

faith loyal ltd n zaid ya kampuni ni familia inayotengenezwa na watu wenye imani na uaminifu  zikiwa k**a core values ka...
22/09/2021

faith loyal ltd n zaid ya kampuni ni familia inayotengenezwa na watu wenye imani na uaminifu zikiwa k**a core values katika kuhudumia wateja wetu wote ndan na nje ya nchi karibu sana faith loyal usafirishe na kuagiza toka China hadi Tanzania

21/09/2021

hakuna kinachotuzuia kukupa kile unahitaji safirisha leo na faith loyal cargo uhakika usalama na usafiri wa haraka na wa bei nafuu kwa mizigo yako toka china hadi tanzania

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faith loyal ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category