Zadaawa Hajj Travel Agency

Zadaawa Hajj Travel Agency Ni Taasisi pekee kati ya Taasisi zinazotambuliwa na BAKWATA kwa ajili ya kusafirisha Mahujaji. Makao makuu ya ofisi ni CHAKECHAKE-PEMBA

Assalamu alaikum, *ZADAAWA HAJJ*Inawaalika waislamu wote wa *WILAYA YA MICHEWENI* uwepo wa *✨MAFUNZO YA HIJJA✨* yatakayo...
14/11/2025

Assalamu alaikum,

*ZADAAWA HAJJ*

Inawaalika waislamu wote wa *WILAYA YA MICHEWENI*
uwepo wa *✨MAFUNZO YA HIJJA✨* yatakayofanyika:
📍 SKULI YA MICHEWENI MSINGI "B"
🗓 Jumapili, 16/11/2025
⏰ Saa 3:00 asubuhi

0773 011 414 / 0777 459 359 / 0773011212 / 0658405429

Professional Hajj and Umrah travel services from Tanzania to Makkah. Complete pilgrimage packages with flights, accommodation, and guidance.

Assalamu alaikum, ZADAAWA HAJJInawaalika WAISLAMU WOTE  ✨UFUNGUZI WA MAFUNZO YA HIJJA✨ yatakayofanyika:📍 MICHEWENI: SKUL...
11/10/2025

Assalamu alaikum, ZADAAWA HAJJ
Inawaalika WAISLAMU WOTE
✨UFUNGUZI WA MAFUNZO YA HIJJA✨ yatakayofanyika:
📍 MICHEWENI: SKULI YA MICHEWENI MSING "B"
📍MKOANI: SKULI YA UWELENI SEC
🗓 Jumapili, 12/10/2025
⏰ Saa 3:00 asubuhi
0773 011 414 / 0777 459 359 / 0773011212 / 0658405429 / 0625131797

Professional Hajj and Umrah travel services from Tanzania to Makkah. Complete pilgrimage packages with flights, accommodation, and guidance.

04/10/2025

*PEMBA*
ZADAAWA HAJJ
Inawaalika WAISLAMU WOTE
✨ UFUNGUZI WA MAFUNZO YA HIJJA ✨ yatakayofanyika:

📍 WETE: MSIKITI WA MWITANI
📍KONDE: SKULI YA KONDE MSINGI "B"
*🗓 Jumapili, 05/10/2025*
⏰ Saa 3:00 asubuhi

0773 011 414 / 0777 459 359 / 0773011212 / 0658405429 / 0625131797

05/09/2025

📢 TANGAZO

ZADAAWA HAJJ
Inawaalika mahujaji wake na Mahujaji watarajiwa wote katika

✨ KONGAMANO LA HIJJA ✨
🗓 Jumapili, 07/09/2025
📍 Ukumbi wa Skuli ya Tumekuja – Unguja
⏰ Saa 3:00 asubuhi

👉 Njoo pamoja na watarajiwa kadiri ya uwezo wako.
👉 Kwa kadi za mualiko piga simu:
0773 011 414 | 0777 418 696 | 0777 459 359

✅ Ukikosa kadi bado utaingia.

02/02/2025

🛑🛑🛑🛑🛑🛑🛑🛑Assalaamu alaykum warahmatullah...

Tunawakumbushia katika MAFUNZO YA HIJJA yatakayofanyika leo JUMAAPILI 02/02/2025 SAA TATU ASUBHI inshaallah

Eneo: MSIKITI WA MWITANI-WETE

TAFADHALI UKIUPATA UJUMBE HUU MTAARIFU NA MWENGINE

01/02/2025

Allah S.W atujaalie mwisho Mwema......

18/01/2025

Safari ya UMRA gharama ni Tzs 4,600,000 tu, *Kuondoka trh 02/02/2025*
HUDUMA ZA SAFARI YA UMRA:

a. Gharama itakusanya tiket, viza, makaazi na chakula.
b. Pia watapata kufanya UMRA MARA MBILI
c. Ziara ya maeneo muhimu ya kihistoria Makka na Madina.
d. Watapewa Hiramu na maji ya zamzam.
e. Watapatiwa mafunzo ya UMRA kabla na ndani ya safari.

NB: Tunamfanyia mtu UMRA kwa gharama ya TSH MILLION 1 tu

17/12/2024

ZADAAWA HAJJ TRAVELLING AGENCY
GHARAMA ZA HIJJA TZS kwa RATE YA LEO 17/12/2024
1. DOLLA 6600 sawa na Tzs 16,104,000 badala ya Tzs 18,150,000

2. DOLLA 5550 sawa na Tzs 13,542,000 badala ya Tzs 15,262,500

3. GHARAMA ya UMRA ni DOLLA 1800 sawa na Tzs 4,392,000 badala ya Tzs 4,950,000

11/12/2024

ZADAAWA HAJJ TRAVELLING AGENCY
Inakutangazieni Safar ya *UMRA* katika mwezi wa *SHAABANI / FEBRUARY*
kwa mda wa SIKU KUMI TU
kwa gharama ya *TSH MILLION 5 TU
(FULL PACKAGE)*

Karibuni kujiandikisha

Address

Dar Es Salaam/Kinyerezi
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255778130308

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zadaawa Hajj Travel Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category