Swahili KWETU

Swahili KWETU Swahili KWETU ni jukwaa la utalii linalotangaza vivutio mbalimbali vya utalii, kutoa elimu, kuhamasisha na kukuwezesha kutalii sehemu unayoipenda Tanzania.

17/07/2017

Mwaka 2016 utalii umechangia taifa zaidi ya Trilioni 4 zaidi ya sekta ya madini. Je, wewe k**a mtanzania wa kawaida, una...
13/06/2017

Mwaka 2016 utalii umechangia taifa zaidi ya Trilioni 4 zaidi ya sekta ya madini. Je, wewe k**a mtanzania wa kawaida, unaionaje sekta ya utalii, na je ushiriki wako uko vipi??

12/05/2016

Sisi sote ni watalii. Je, umetimiza wajibu wako wakutembelea vivitio mbalimbali vilivyopo nchini kwetu?

Mnamo mwaka 1938, mlima Kilimanjaro ulikuwa na muonekano huu.
13/01/2016

Mnamo mwaka 1938, mlima Kilimanjaro ulikuwa na muonekano huu.

Unasababu zaidi ya bilioni moja za kujivunia nchi yako. Hizi ni baadhi ya mbuga za wanyama na hifadhi zinazowavutia mami...
02/01/2016

Unasababu zaidi ya bilioni moja za kujivunia nchi yako. Hizi ni baadhi ya mbuga za wanyama na hifadhi zinazowavutia mamilioni ya watu kutoka pembe zote za dunia kuja kutalii. Je, Unampango gani wakutembelea moja ya mbuga au hifadhi hizi kwa mwaka 2016? Chukua hatua, tembea uone uzuri wa nchi yako.

02/01/2016

Mwaka 2016 uwe mwaka wa baraka kwako. Tekeleza mipango yako sasa.
HAPPY NEW YEAR FANS

Hello watu wangu, nawatakieni mwaka mpya wenye baraka tele.
30/12/2015

Hello watu wangu, nawatakieni mwaka mpya wenye baraka tele.

28/12/2015

Asanteni wote mlio-like page ya Swahili KWETU. Karibuni kwenye ulimwengu mzuri wa kitalii, hasa wewe mwenye ndoto ya kutalii sehemu unayoipenda Tanzania. KARIBU

Tembea uone uzuri wa nchi yako
22/12/2015

Tembea uone uzuri wa nchi yako

Address

P. O BOX 70223
Dar Es Salaam

Telephone

0764 658999

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili KWETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili KWETU:

Share

Category