Tourism Tanzania

Tourism Tanzania The Land of Kilimanjaro, Zanzibar, Serengeti, Mafia Island and more......

03/11/2022
Kutoka kushoto ni Mkurugezi wa fedha na I Tawala wa Digital AM Limited, Ndg Victor Munaku, CEO wa Digital AM Limited Ndg...
30/10/2022

Kutoka kushoto ni Mkurugezi wa fedha na I Tawala wa Digital AM Limited, Ndg Victor Munaku, CEO wa Digital AM Limited Ndg Rena Callist, na Mkurugenzi Mtendaji wa YONO Auction Mart Co.Ltd Mama Scholastika Kivela picha baada ya mnada wa viwanja Kigamboni uliofanyika weekend hii

Picha ya pamoja ya staff wa Digital AM Limited na Yono Auction Mart Co. Ltd baada ya mnada wa jana viwanja KigamboniHong...
30/10/2022

Picha ya pamoja ya staff wa Digital AM Limited na Yono Auction Mart Co. Ltd baada ya mnada wa jana viwanja Kigamboni

Hongera kwa wote waliofanikiwa kununua viwanja katika mnada uliofanyika jana na leo

Mnada wa viwanja Kigamboni utaendelea kwa kufanyika kila weekend kwa siku za Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 Jioni eneo la Lingato karibu na kiwanda cha maji ya Afya

Usafiri ni bure kuanzia Kibada stendi ya kuelekea Mwasonga kila siku za mnada kuanzia saa 2 asubuhi na kuendelea

Viwanja vitaendelea kuzaa kwa bei nafuu kwa weekend zote za mwezi wa 11

Usikose bahati hii ya kufunga mwaka kwa kununua kiwanja kwa bei nafuu !

Malipo ya awali ni Tsh 200,000:= kwa kila kiwanja, asilimia 30 utalipa ndani ya siku 7 na pesa itakayobakia utalipa ndani ya miezi mitatu hadi mwaka mmoja !

Kwa maelezo zaidi Piga simu namba
0763 333 374 au 0715 755 755

Au tembelea ofisi za Digital AM Limited zilizopo Mji Mwema, Kigamboni
au Yono Auction Mart Co. Ltd zilizopo Jongo la Benjamin Mkapa Posta

Burudani ya muziki, nyama choma zinapatikana

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255755755755

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tourism Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tourism Tanzania:

Share

Category