22/10/2024
kwetusafari Tunawaletea safari ya kufunga mwaka
2024, safari ya siku nne ndani ya msitu wa Magoroto, tukitumia safari overland trucks. Tutakuwa na trucks mbill, Moja ikitokea Arusha na nyingine Dar es salaam.
Hii sio ya kukosa!!!
•
•
•
Booking tayari zimeanza, ili kuweka nafasi yako piga 0784424268 au 0769324305. Karibu tusafiri pamoja.