World Is Ze Beautifully Thing

World Is Ze Beautifully Thing I'm nothing without you

When you think about traveling consider Nyumbani Safaris as your tour company.All we want from you to experienced better...
03/02/2020

When you think about traveling consider Nyumbani Safaris as your tour company.All we want from you to experienced better than greater when you travel.

JE WAJUA VIFARANGA VYA KUKU VINA UWEZO WA KUWASILIANA WENYEWE KWA WENYEWE PIA NA MAMA YAKO KWA SAUTI MAALUMU KABLA YA KU...
01/04/2018

JE WAJUA VIFARANGA VYA KUKU VINA UWEZO WA KUWASILIANA WENYEWE KWA WENYEWE PIA NA MAMA YAKO KWA SAUTI MAALUMU KABLA YA KUKUTOTOLEWA AU KUHANGULIWA #

DID YOU KNOW #?JAMII YA KASA UPUMUA KWA KUTUMIA MAKALIO YAKE WAKATI HAKIWA NDANI YA MAJI
24/03/2018

DID YOU KNOW #?
JAMII YA KASA UPUMUA KWA KUTUMIA MAKALIO YAKE WAKATI HAKIWA NDANI YA MAJI

WORD OF THE DAYResearch zilizofanyika inahonesha kwamba idadi ya watu wanaotumia internet connection kati ya bara la Afr...
23/03/2018

WORD OF THE DAY
Research zilizofanyika inahonesha kwamba idadi ya watu wanaotumia internet connection kati ya bara la Africa na mji wa marekani wa New York City ,mji wa New York City,marekani una idadi kubwa ya matumizi ya internet kuliko barani Africa.

01/03/2018

DID YOU KNOW THAT!?🙄🙄🙄🙄

MTOTO MDOGO ANA UWEZO WA KUOGELEA KWENYE MSHIPA WA NYANGUMI WA BLUU.
Like thiz page World Is Ze Beautifully Thing you will know more.

LAKE VICTORIAjina la ziwa victoria ni jina ambalo liliundawa  kwa ajiri ya kumuhezi malikia victoria wa uko uingereza na...
27/02/2018

LAKE VICTORIA
jina la ziwa victoria ni jina ambalo liliundawa kwa ajiri ya kumuhezi malikia victoria wa uko uingereza na ndlo ziwa kubwa la kwanza barani Africa lenye kilometa za mraba 68,800 na pia ni ndilo ziwa la pili ki dunia kwa maji yasiyo na chumvi na mapolomoko ya kipekee,inasemekana kwamba ziwa ili wanashindwa kutambua mmiliki halali ad leo hii kwa sababu ukihenda Kenya,Uganda and Tanzania lipo but eneo kubw liko Tanzania

WOODAABE(BORORO)Ni kabila ambalo linapatikana katika nchi ya Niger ,magharibi wa Africa ambayo wana tamaduni za kipekee ...
27/02/2018

WOODAABE(BORORO)

Ni kabila ambalo linapatikana katika nchi ya Niger ,magharibi wa Africa ambayo wana tamaduni za kipekee ambazo ukisiona lazim uta shangaa na kustajabika k**a zifuatavyo
1.Kabila la woodaabe wanaamini kwamba wao ni wazur kushinda watu wote duniani na wanaume ubeba vioo muda wote kwa kwa ajiri ya kujingalia
2.Watoto wao uwapa majina paka wafike umri wa miaka kumi na mbili
3.Uwazimisha sikuku ya NIKUIBIE MKE ambayo wanaume uvaa vizur ili wavutiye na kuchukua wanawake wengine
4.Wanawake wanauwezo wa kuzaa watoto watakao na kuishi na wanaume kwa idadi anayoipenda

DID YOU KNOW THAT EYE OF OSTRICH IS BIGGER THAT  IT'S BRAIN THAT MAKE TO BEBody weight 123,000gEye weight 47.6gBrain wei...
26/02/2018

DID YOU KNOW THAT EYE OF OSTRICH IS BIGGER THAT IT'S BRAIN THAT MAKE TO BE
Body weight 123,000g
Eye weight 47.6g
Brain weight 42.1g

Swahil Name:KIBOKO English Name:HippopotamusHuyu n myama ambayo wagiriki wanatambua k**a farasi maji mton, ndyo mnyama w...
26/02/2018

Swahil Name:KIBOKO
English Name:Hippopotamus

Huyu n myama ambayo wagiriki wanatambua k**a farasi maji mton, ndyo mnyama wa tatu kwa ukubwa akitoka KIFARU MWEUPE ambayo asilimia kubwa za shughuli zake ufanyia kwenye maji ikwemo kulala na kuzaa. Watu weng uwamin kwamba kiboko anajua kuogelea but cyo kwel uwa anatembea tena kwa kasi ya ajabu ambyo umfanya haonekane k**a naogelea.
kunasababu kuu mbili ambazo ufanaya kiboko aishi kwenye maji
Ya kwanza ni kusadiya kupunguza uzito wake kutokana na umbo kubwa
Ya pili ni kumsaidia kumuepuxha kuungua na jua kwa sababu ya ngoz yake iko rahini sana upelekea kungua na mwanga wa jua linapokuwa kal.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0755671158

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when World Is Ze Beautifully Thing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to World Is Ze Beautifully Thing:

Share

Category