Ishi Kistaa

Ishi Kistaa Get a chance to meet and date some of the biggest and hottest stars of Tanzania! This is your time! Please visit this page for more information.
(8886)

Meet music stars, movies stars, politicians and many stars on different aspects. Pata nafasi yakukutana na mastaa mbalimbali katika fani za muziki, movies, siasa na wengine wengi. Tafadhali tembelea ukurasa huu kupata habari!

17/02/2023

Entertainment Lamata: Kajala afiti kwenye Tamthilia ya Jua Kali By Rashid Bugi - February 17, 2023 0 12 Mungozaji na Mwandishi wa Tamthilia ya Jua Kali, Lamata amefunguka na kusema kuwa muigizaji wa Bongo Movie, Kajala hayumo katika Tamthilia ya Jua kwasababu afiti sehemu yoyote. Lamata amesema kuwa...

01/02/2023

Entertainment Msefu apungua kilo saba By Rashid Bugi - February 1, 2023 0 3 Peter Msechu Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Peter Msechu amebainisha kupungua kilo saba ikiwa ni siku 7 tu zimepita toka awekewe p**o katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito mwilini mwake...

01/02/2023

Entertainment Country Boy na Dipper Rato kuachia ngoma ya pamoja By Rashid Bugi - February 1, 2023 0 17 Mwanamuziki wa hip hop Bongo, Country Boy na Dipper Rato wana jambo lao kwani wanatarajia kuachia ngoma ya Pamoja baada ya kuthibitisha hilo. Country Boy weekend hii walikuwa pamoja kwenye tukio l...

01/02/2023

Entertainment Linex apongeza ubunifu wa Dayoo By Rashid Bugi - February 1, 2023 0 18 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Linex amempngeza msanii mwenzake, Dayoo kwa ubunifu wake alioufanya kupitia wimbo wake mpya ‘ Moyo’ huku akiuita Upendo Wa Kweli. Kupitia wimbo huo Dayo kuna sehemu anasikika akiitaj...

01/02/2023

Entertainment Q Chilla aachia orodha ya nyimbo kwenye albam yake By Rashid Bugi - February 1, 2023 0 1 Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Q Chilla ameachia rasmi orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya itkayotoka mapema mwaka huu.Q Chilla ameweka kava linaloonyesha orodha hiyo ya n...

30/01/2023

Entertainment Marioo azindua rasmi albam yake By Rashid Bugi - January 30, 2023 0 35 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo amezindua albam yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Kid You Know’ ambayo ilizinduliwa rasmi Januari 28 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kwe...

30/01/2023

Entertainment Ruby athibitisha kuwa mjamzito By Rashid Bugi - January 30, 2023 0 0 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ruby ameonyesha picha ya ujauzito wake huku akimshukuru mungu kwa baraka hiyo nyingine kwenye maisha yake.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ruby ameweka picha hiyo inayoonyesha ujauzito wa...

30/01/2023

Entertainment Zuchu kuachia wimbo wa Taarab By Rashid Bugi - January 30, 2023 0 3 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameahidi kuachia wimbo wa taarabu mwaka huu licha ya kuwa kubase Zaidi kwenye nyimbo za Bongo Fleva. Zuchu ameafunguka kuwa muziki wa Taarabu umemkuza na umemlea na ni muziki anaoupend...

25/01/2023

Entertainment Ujumbe wa Sallam waibua maswali kwa mashabiki By Rashid Bugi - January 25, 2023 0 27 Meneja wa Muziki Afrika na Record Label ya kupitia ukurasa wake wa Instagram amepachapisha ujumbe ambao umeenda kuibua maswali mengi kwa wapenzi wa Burudani na Mashabiki kwa Ujumla.Mendezi kwenye Post...

25/01/2023

Entertainment Harmonize mbioni kuachia kolabo na Burna Boy By Rashid Bugi - January 25, 2023 0 6 Mmoja wa mameneja wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize aitwae Chopa amethibitisha ujio wa kolabo ya tatu kati ya Harmonize akiwa na Burna Boy. Choppa amethibitisha hilo wakati akijibu swali la shabik...

25/01/2023

Entertainment Lava lava kuja na EP yake By Rashid Bugi - January 25, 2023 0 11 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lava lava amefunguka na kusema kuwa yupo katika maandalizi ya kuachia EP yake baada ya kuonekana akiwa studio kwa maandalizi ya EP hiyo. Lava lava amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa mta...

23/01/2023

Entertainment Baada ya ndoa mume wa Buheti aingia kambini By Rashid Bugi - January 23, 2023 0 4 Muigizaji wa tamthilia na mpishi wa chakula Tanzania amedai baada ya ndoa yake tu mume wake ameondoka kambini kujiunga na wachezaji wenzake.Pia Buheti amesema swala la umri hata yeye alikuwa na mashaka n...

Address

Ilala
Dar Es Salaam
1

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ishi Kistaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ishi Kistaa:

Share