Tanzania Bound Buses

Tanzania Bound Buses UKURASA WA WAPENZI WA MABASI YOU ARE ALL WELCOME. BAD LANGUAGE AND ABUSIVE WORDS ARE NOT TOLERATED IN THE GROUP.
(202)

HII KURASA NI HUSUSANI KWA WATU WOTE WANAOPENDA KUSAFIRI KWA MABASI NDANI YA TANZANIA.UNAWEZA KUWEKA PICHA,UKATOA MAONI KUHUSU USAFIRI WA TANZANIA,KERO AU MATATIZO ULIYOYAPATA UKIWA SAFARINI.KARIBUNI SANA. THIS PAGE IS ESPECIALLY FOR ALL PEOPLE WHO LOVE TO TRAVEL BY BUS IN AND AROUND TANZANIA, YOU CAN POST PICTURES AND COMMENTS ABOUT THE TANZANIA TRANSPORTATION. MABASI YA TANZANIA/LIST OF BUSES:

-Dar Express
-Kilimanjaro Express
-Hood Limited
-Abood bus
-Metro Express
-Sumry High Class
-Akamba
-Kampala coach
-Shabiby Line
-Princes Muro
-Ngorika
-Buffalo coach
-Saibaba Express
-Fresh coach
-Spider
-Simba coach
-Mombasa raha
-Happy Nation
-Mohamed Trans
-Ibra Line
-Simba mtoto
-Mbeya Express
-Taqwa
-Upendo coach
-Super Feo
-Robin top line
-New Force
-Moro best
-Champion
-Al saedy
-Allys sports
-King cross
-Mwafrika
-Abs coach
-Tawakal
-Raqib
-Moud raha
-Mabrouck
-Fasaha
-Arusha Express
-Urio trans
-Ngwalu express
-Chaula trans
-Islam
-Skyline Express
-Chakito long way bus
-Arusha express
-Best line
-Super sonic exp
-Leina tours
-Ilasi express
-Shabco
-Nganga express
-Jordan express
-Batco coach
-Zuberi
-Super najimunisa
-Sharon
-Dear babu
-Mohamed invenstments
-Masama investments
-Rafiki trans
-Shambalai
-Ng'itu
-Shobnaz
-Safari coach
-Mbazi travel
-Kvc safari
-Pole pole
-Perfect trans
-Lucky star
-Bunda express
-Tonda express
-Deluxe
-R.s investments
-Kimambo
-Seth express
-Tayassar
-Zakaria express
-Green star
-Hajee's
-Grazia
-Ally's sports
-Luwinzo
-Osaka
-Harambee coach
-Shabaha promise
-Fasaha
-Budget
-Satellite coach
-A.M coach
-Air born city
-Air bus
-Tashriff
-Raha leo
-Freys coach
-Coast line
-NBS coach
-Mghamba trans
-Dolphin
-Lakrome
-Bembea
-Meridian coach
-Tahmeed
-Perfect trans

KAMPUNI ZA MABASI ZILIZOSTAAFU/ RETIRED COMPANIES:

-Scandinavia Express
-Air Msae
-Royal Coach
-Zainabu
-Kwacha
-Kizota line
-Sabco limited
-Embakasi express
-Comfort Express
-Chatco chater

AINA ZA MABASI YANAYOTUMIKA / MAKES OF BUSES:
-Scania
-Mercedes Benz
-Man
-Nissan Diesel
-Yutong
-King Long
-Isuzu
-Iveco
-Zhonda
-Zhong Tong
-Mitsubishi

Ondoa hofu ya kukosa usafiri msimu huu! Otapp inakuhakikishia unapata tiketi yako ya basi bila usumbufu wowote.Kata tike...
10/06/2026

Ondoa hofu ya kukosa usafiri msimu huu! Otapp inakuhakikishia unapata tiketi yako ya basi bila usumbufu wowote.

Kata tiketi yako sasa:
Tovuti: www.otapp.co.tz au pakua app: link.otapp.live

Habari njema kwa wasafiri wa Kanda ya Ziwa! Kuanzia tarehe 08.06.2026, Ally’s Star imeboresha ratiba zake ili kukupa mud...
06/06/2026

Habari njema kwa wasafiri wa Kanda ya Ziwa! Kuanzia tarehe 08.06.2026, Ally’s Star imeboresha ratiba zake ili kukupa muda unaokufaa zaidi iwe ni kusafiri mchana, jioni au usiku.

Pakua Otapp App sasa na ukate tiketi yako kwa urahisi popote ulipo kupitia link.otapp.live.

Website: www.otapp.co.tz

Hakuna ulazima wa kwenda stendi ama kupiga simu ofisini Kwa ajili ya tiketi. Kata tiketi za mabasi kwenye Otapp app Jukw...
02/06/2026

Hakuna ulazima wa kwenda stendi ama kupiga simu ofisini Kwa ajili ya tiketi. Kata tiketi za mabasi kwenye Otapp app Jukwaa pekee Tanzania linaloongoza Kwa tiketi za mabasi.

Pakua Otapp sasa kupitia link.otapp.live
Website 👉 www.otapp.co.tz

WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI MKOANI MBEYA.Watu wanne wamepoteza maisha baada ya basi la kampuni ya Mwasote...
02/06/2026

WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI MKOANI MBEYA.

Watu wanne wamepoteza maisha baada ya basi la kampuni ya Mwasote lililokuwa likisafiri kutoka Mbeya kwenda Chunya kupata ajali katika eneo la Maji Mazuri mkoani Mbeya.

Ajali hiyo iliyotokea Mei 31, 2026 saa 9:10 alasiri ilisababisha pia watu 29 kujeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, basi hilo lenye namba T134DFB aina ya Mitsubishi lilipinduka baada ya dereva kushindwa kulimudu katika kona kali na kuacha njia.

Miongoni mwa waliofariki wametajwa kuwa ni Hamza mwenye miaka 30 pamoja na Matrida Mwabanganya. Dereva wa basi hilo anaendelea kupatiwa matibabu chini ya ulinzi huku uchunguzi zaidi ukiendelea.

Louis LineDar_Ifakara
25/05/2026

Louis Line
Dar_Ifakara

Louis Line  PLUS
25/05/2026

Louis Line
PLUS

SAMA LUXURY COACH Dar_MwanzaNauli semi luxury _Tzsh 88,000/=Vip ni Tzsh 10,0000/=Songea_Dar Nauli ni 70,000/=Dar_MbingaN...
25/05/2026

SAMA LUXURY COACH
Dar_Mwanza
Nauli semi luxury _Tzsh 88,000/=
Vip ni Tzsh 10,0000/=

Songea_Dar
Nauli ni 70,000/=

Dar_Mbinga
Nauli ni 80,000/=
kwa mahitaji ya tiketi piga,sms,whatsap
0759399805

Muda kwetu ni muhimu linapokuja suala la usafirishaji wa mizigo. Ndiyo maana Otapp Cargo imejizatiti kuhakikisha mizigo ...
21/05/2026

Muda kwetu ni muhimu linapokuja suala la usafirishaji wa mizigo. Ndiyo maana Otapp Cargo imejizatiti kuhakikisha mizigo yako inafikishwa salama na kwa wakati kote Tanzania.

Book huduma yako ya cargo sasa kupitia Otapp. Pakua Otapp sasa kupitia link.otapp.live


Kata Tiketi za mabasi sasa kupitia Otapp jukwaa namba moja la tiketi za mabasi.

Pakua Otapp sasa kwenye google playstore na appstore kupitia link ya https://link.otapp.live/

Kwa msaada zaidi piga simu kwenye namba 0748 771 160.

Powered by





Falcon CoachDar_TarimeKata Tiketi za mabasi sasa kupitia Otapp jukwaa namba moja la tiketi za mabasi.Pakua Otapp sasa kw...
18/05/2026

Falcon Coach
Dar_Tarime

Kata Tiketi za mabasi sasa kupitia Otapp jukwaa namba moja la tiketi za mabasi.

Pakua Otapp sasa kwenye google playstore na appstore kupitia link ya https://link.otapp.live/

Kwa msaada zaidi piga simu kwenye namba 0748 771 160.

Powered by





Morgan LuxuryDar_BukobaKata Tiketi za mabasi sasa kupitia Otapp jukwaa namba moja la tiketi za mabasi.Pakua Otapp sasa k...
18/05/2026

Morgan Luxury
Dar_Bukoba

Kata Tiketi za mabasi sasa kupitia Otapp jukwaa namba moja la tiketi za mabasi.

Pakua Otapp sasa kwenye google playstore na appstore kupitia link ya https://link.otapp.live/

Kwa msaada zaidi piga simu kwenye namba 0748 771 160.

Powered by





Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Bound Buses posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Bound Buses:

Share