20/10/2026
🌍✈️ LIKIZO YAKO YA DESEMBA NA MWAKA MPYA INAANZIA HAPA! 🎄🥂
🇦🇪 Dubai | 🇸🇬 Singapore | 🇲🇾 Malaysia | 🇹🇷 Uturuki | 🇿🇦 Johannesburg | 🐘 Kruger Safari | 🇹🇭 Thailand | 🇫🇷 Paris | 🇮🇹 Rome | 🇮🇩 Bali etc
Unapanga kutumia likizo yako ya Desemba wapi? 😍
Iwe unatamani kufurahia miji ya kuvutia, safari ya wanyamapori isiyosahaulika, likizo ya kimapenzi au kusherehekea Mwaka Mpya katika nchi nyingine, Bohobe Travels tuko tayari kukusaidia kutimiza ndoto yako ya kusafiri! 🌎
🔥 HATUA YAKO INAYOFUATA NI HII!
📲 TUMA UJUMBE WENYE NENO “DECEMBER” SASA HIVI KUPITIA WHATSAPP AU INSTAGRAM DM!
Tutakutumia BROCHURE yetu ya safari za Desemba na Mwaka Mpya yenye vifurushi vya safari, tarehe za kuondoka, bei na maelezo muhimu yatakayokusaidia kuchagua safari inayokufaa.
✅ Unapanga kusafiri peke yako?
✅ Unataka likizo na mwenza wako?
✅ Unapanga kusafiri na familia?
✅ Unataka kuukaribisha Mwaka Mpya katika destination mpya?
Tuna machaguo ya likizo kwa ajili yako!
⏳ Usisubiri hadi dakika za mwisho kupanga likizo yako. Anza mapema, chunguza machaguo yako na uchukue hatua ya kwanza kuelekea safari yako ijayo!
📲 Tuma neno “DECEMBER” kupitia WhatsApp sasa:
+255 712 020 242 | +255 768 612 255
🌐 www.bohobegroup.com
BOHOBE TRAVELS
Top-Notch African Adventures.