14/11/2019
Habari wapendwa wetu Mao travel and tours imekuletea tena ziara ya Egypt na Dubai kwa gharama nafuu kabisa za dollar za kimarekani 2200 utaweza kusafiri miji hiyo miwili kwa siku 13 na ukaenjoy kwa kuwa kila kitu kinakuwa kimeshalipiwa kwanzia ticket za ndege malazi na ziara yote kwa ujumla bas njoo ufaidike december hii ukatulize akil kwa kazi nzury uliyofanya mwaka mzima.karibun sana wapendwa wateja wetu
vella santana