07/08/2026
Kuwa sehemu ya Tanzania kuelekea mustakabali wa kaboni ya chini, ustahimilivu wa hali ya hewa, na mustakabali endelevu. 🌱
​Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) kinakarika mashirika ya kibiashara, taasisi za kifedha, wadau wa maendeleo, wawekezaji, viongozi wa sekta binafsi, na mashirika yanayojihusisha na masuala ya mabadiliko ya tabianchi kushirikiana katika Tukio Kuu la Fedha za Kaboni na Upunguzaji wa Kaboni Tanzania.
​📅 2–3 Septemba 2026
📍 Dar es Salaam, Tanzania
​Kama mdhamini, shirika lako litapata fursa za kimkakati za kuimarisha uongozi wake katika uendelevu, kushirikiana na watoa maamuzi wa kitaifa na kimataifa, kuonyesha bidhaa za kijani na suluhu za mabadiliko ya tabianchi, kuungana na wawekezaji na watunga sera, na kupata fursa kubwa za utangazaji na vyombo vya habari.
​🤝 Nafasi chache za udhamini zinapatikana. Wahi ushiriki wako leo!
​📞 0712 682 885 | 0754 280 491 | 0754 088 461 | 0715 847 466
đź“§ [email protected] | [email protected]
​
Be part of Tanzania’s transition toward a low-carbon, climate-resilient and sustainable future. 🌱
The National Carbon Monitoring Centre (NCMC) invites corporate organizations, financial institutions, development partners, investors, private sector leaders and climate-focused organizations to partner with Tanzania’s premier Carbon Finance & Decarbonization Event.
📅 2–3 September 2026
📍 Dar es Salaam, Tanzania
As a sponsor, your organization will gain strategic opportunities to strengthen its sustainability leadership, engage with national and international decision-makers, showcase green products and climate solutions, connect with investors and policymakers, and receive extensive branding and media exposure.
🤝 Limited sponsorship opportunities are available. Secure your partnership today!
📞 0712 682 885 | 0754 280 491 | 0754 088 461 | 0715 847 466
đź“§ [email protected] | [email protected]
NCMC CarbonFinance Decarbonization CallForSponsors ClimateFinance
Cc
Luvanda Corporate