Tanzania Media Women's Association - TAMWA

Tanzania Media Women's Association - TAMWA A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. The Association in 2004 complied with the new NGO law of 2002.

The Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) is a non-profit sharing, non-governmental and non-partisan organisation registered under the Societies Ordinance on 17th of November 1987 with registration number SO 6763. Tamwa has two offices in Dar -es- Salaam and Zanzibar. Zanzibar office located at Mombasa area near SOS is rented, but the office in Dar -es-Salaam situated at Sinza-Mori, along Shekilango Road, Kijitonyama, Kinondoni District, is Association's property. The founder members of TAMWA are; Fatma Alloo, Edda Sanga, Leila Sheikh, Rose Haji, Ananilea Nkya, Valerie Msoka, Pili Mtambalike, Elizabeth Marealle, Rose Kalemera, Jamilla Chipo, Nellie Kidela and Halima Shariff. Currently the Association has over 100 members with a minimum qualification of Diploma in Journalism and three years work experience in the media industry. Members are working in public and private media houses as editors, reporters, programme managers, producers, public relations and communication officers. The AGM is the supreme organ of the Association but it delegates its powers our to the GB which meets four times a year to evaluate the performance of the Secretariat an organ to execute day today activities of the Association.

Leo dunia inaadhimisha Siku ya Afya ya Uzazi. TAMWA inaikumbusha jamii kutambua kuwa afya ya uzazi ni zaidi ya mwili, ni...
04/09/2026

Leo dunia inaadhimisha Siku ya Afya ya Uzazi. TAMWA inaikumbusha jamii kutambua kuwa afya ya uzazi ni zaidi ya mwili, ni heshima, usalama na ni uhuru dhidi ya ukatili, udhalilishani na unyanyasaji.

Mwakilishi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Prudence Constantine, amesema wananchi wanapaswa kutumia na...
03/09/2026

Mwakilishi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Prudence Constantine, amesema wananchi wanapaswa kutumia nafasi hiyo kuchagua kazi zinazoakisi mahitaji na maslahi ya jamii, pamoja na zile zilizosaidia kuibua kueleza au kuelimisha kuhusu masuala muhimu ya maendeleo.

Amesema kura za wananchi ni sehemu muhimu ya mchakato wa kuwapata washindi kwa kuwa zinaiwezesha jamii kutambua na kuunga mkono kazi zenye mchango au athari chanya katika maisha ya watu na maendeleo ya Taifa.


"Kwa tathmini yetu ya majaji wa SKA 2026 wakati tunapitia makala zilizowasilishwa tumebaini kuwa waandishi wa habari wa ...
03/09/2026

"Kwa tathmini yetu ya majaji wa SKA 2026 wakati tunapitia makala zilizowasilishwa tumebaini kuwa waandishi wa habari wa Tanzania wanauwezo mkubwa wa kuibua masuala mbalimbali ya maendeleo katika ngazi zote nchini". Mmoja wa majaji SKA 2026 Bi, Beatrice Bandawe akizungumza wakati wa ufunguzi wa zoezi la upigaji kura katika shindalo la Tuzo za Habari za Maendeleo la Samia Kalamu Awards 2026



Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Dkt, Rose Reuben amewapongeza waandishi wa habari walioshiriki kuwasilisha makala zao katik...
03/09/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Dkt, Rose Reuben amewapongeza waandishi wa habari walioshiriki kuwasilisha makala zao katika shindano la Samia Kamalu Awards 2026 ambapo sasa baadhi zimechaguliwa kuingia awamu ya kupigiwa kura na wananchi zoezi ambalo linaanza leo Septemba 3, 2026

Dkt, Rose Reuben amewakaribisha wananchi kushiriki katika zoezi la kupiga kura kwa kuwa wananchi ndio walaji wa habari na kutambua maudhuri ambayo yamewaguswa katika maeneo yao na kuamua k**a zinaweza kushinda.

"Kura ya wananchi ni ya muhimu sana kwa sasa kwa kuendeleza na kutambua maudhui ya ndani, kwa kuitangaza nchi kutambulika kimataifa kupitia habari zilizoandikwa kwa weledi na waandishi wa habari mahiri walioshiriki katika shindano la SKA 2026". Amesema Dkt Rose



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mha. Peter Mwasalyanda, amesema kwa kuzingatia utaratibu wa u...
03/09/2026

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mha. Peter Mwasalyanda, amesema kwa kuzingatia utaratibu wa uendeshaji wa tuzo, kura za wananchi ni sehemu muhimu ya mchakato wa kumpata mshindi. Hatua hii inawapa wananchi, k**a watumiaji wa maudhui ya habari na makala za maendeleo, fursa ya kutambua na kuunga mkono kazi wanazoona kuwa zimefanya vizuri, zimeakisi mahitaji na maslahi ya jamii.



Zoezi la upigaji kura kwa waandishi wa habari walioshindania Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026 limeanza rasmi leo Septemb...
03/09/2026

Zoezi la upigaji kura kwa waandishi wa habari walioshindania Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026 limeanza rasmi leo Septemba 3, 2026 na litafungwa Septemba 30, 2026. Kazi 294 zimefuzu kuingia hatua ya kupigiwa kura na wananchi.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) inawataarifu wananchi na wadau wa tasnia ya habari kuwa kazi 294 kati ya 3,003 zilizoshindanishwa zimefuzu kwa hatua ya kupigiwa kura na wananchi katika Tuzo za Uandishi wa Habari za Maendeleo za Samia Kalamu Awards 2026 msimu wa pili.

Wananchi wataweza kushiriki katika zoezi la upigaji kura kupitia tovuti rasmi ya Tuzo kupitia www.samiaawards.tz na kufuata maelekezo yaliyowekwa ili kupiga kura kwa kazi wanayoichagua pamoja na kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) wenye neno “SKA” likifuatiwa na namba ya mshiriki, kwenda 15200.



02/09/2026

Chama cha Wanahabari  Wanawake Tanzania(TAMWA) kinaipongeza  kwa kumteua mcheza filamu na mjasiriamali wa Tanzania, Hami...
31/08/2026

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA) kinaipongeza kwa kumteua mcheza filamu na mjasiriamali wa Tanzania, Hamisa Mobetto kuwa Balozi wa Kimataifa wa shirika hilo ili kuhamasisha usalama wa kidijitali na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Unesco imesisitiza ulinzi na usalama dhidi ya hatari zinazoweza kuwakabili mitandaoni. Tamwa tumekuwa tukipinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia unaofanywa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya wanawake na wasichana.Hamisa Mobetto

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Media Women's Association - TAMWA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Media Women's Association - TAMWA:

Shortcuts

Share