Millenium Coach LTD

Millenium Coach LTD Luxury Coaches from Dar-es-Salaam going towards Lindi, Mtwara , Masasi, Newala & Nachingwea as well as Private Hires Locally around Tanzania

23/12/2016

Tunawatakia Wasafiri wetu wote pamoja na wafuasi Sikukuu njema na heri ya mwaka mpya!!

Kusherekea tu tag kwenye safari yenu ata kwa check in au tuma picha kwenye Facebook Au Twitter au

30/11/2016
Karibuni Millenium "Mwanga wa Kusini" Tunakaribia wafuasi 3,500!! Tuwakaribishe rafiki na ndugu zetu kwa kutupa like na ...
30/11/2016

Karibuni Millenium "Mwanga wa Kusini" Tunakaribia wafuasi 3,500!! Tuwakaribishe rafiki na ndugu zetu kwa kutupa like na share!

MSIMU HUU!!! Tunakuletea huduma MPYA mbalimabli kwa wateja wetu wa Kusini!

Burudika na safari za furaha na uhakika kila siku kwenda na kutoka Lindi, Masasi, Nachingwea na Mtwara.

* Tunapokea booking za mitandao na simu pamoja na kupitia page na website yetu. www.millenium.co.tz

* Tunasafirisha mizigo kwa basi na malori kwenda Lindi, Masasi, Nachingwea, Mtwara pamoja na wilaya zake zote.

*Dar-es-Salaan ipo Temeke Mwisho usoni ya stendi kabla ya sheli ya Camel Oil.

Millenium Coach LTD is a local owned company, that was established in 2014. It's first operations of daily departures to Mtwara 9:00AM began on the 14th of Jan 2015. As the company launched, it had a vision of providing a luxury travel experiences to it's passengers travelling to the Southern Region...

Follow us and give us your comments while on board Millenium Coach on twitter!! Tutafute na kutoa maoni yenu mkiwepo kwe...
11/10/2016

Follow us and give us your comments while on board Millenium Coach on twitter!!

Tutafute na kutoa maoni yenu mkiwepo kwenye basi ya Millenium Coach kupita twitter.

Now book online with Millenium Coach LTD. to go to the Southern Regions of Tanzania (Mtwara, Masasi, Newala etc). Simply...
16/06/2016

Now book online with Millenium Coach LTD. to go to the Southern Regions of Tanzania (Mtwara, Masasi, Newala etc). Simply follow the instructions on the image to book now.

Visit www.millenium.co.tz

Fanya booking ya awali kwenye mtandao na Millenium Coach LTD kwenda Kusini (Mtwara, Masasi, Newala). Fuata maelekeo kwenye picha kufanya booking.

Enjoy the new treat from Millenium Coach LTD. Now book online to your selected destination to and from the southern regi...
14/06/2016

Enjoy the new treat from Millenium Coach LTD. Now book online to your selected destination to and from the southern regions of Tanzania. Follow the instructions on the photo to book. Call the office to confirm bookings & payments

Sasa furahia huduma mpya pekee Tanzania ya kufanya booking ya mabasi ya Millenium Coach LTD kwa kupitia mtanadao. Fuata picha kwaajili ya maelekezo ya kufanya booking. Ukishamaliza piga simu ofisini kuhakikisha booking na malipo.

Fanya booking za awali epuka zogo za stendi!

Book your seat in Advance avoid the hassle of the stand.

KARIBU MILLENIUM COACH LTD
"Mwanga Wa Kusini"

We do private hires for delegations & conferences across Tanzania and focus majorly on Southern Regions of Tanzania. Wid...
30/05/2016

We do private hires for delegations & conferences across Tanzania and focus majorly on Southern Regions of Tanzania. Widely known for our high standard services, we make sure your journey is comfortable and memorable when you choose Millenium Coach LTD. For more information contact us directly using our numbers 0686327222 or visit our website www.millenium.co.tz.

29/03/2016

Wapendwa Abiria wa Millenium Coach LTD. Je mngependelea kuweza kufanya bookings za seat na malipo ya moja kwa moja kwa kupitia simu yenu na mitandao? Tupe maoni yenu. Safari za Masasi, Mtwara na Kilambo kila siku.

*Tuambie mngetaka huduma za aina gani upatikane kwenye mfumo wa aina hiyo.

Passengers of Millenium Coach LTD. Would you like to be able to make reservations, choose and book your seats through your smart phone and the Internet and pay directly through your mobile device? Give us your feedback. Journey to Masasi, Mtwara and Kilambo daily.

*Tell us what kind of features would you like us to implement in such kind of a system.

12/02/2016

Millenium Coach Ltd imeanza safari za kila siku kuelekea Kilambo saa 12 asubuhi. Isitoshe kila siku safari za Masasi saa 1 asubuhi na Mtwara saa 3 zinaendelea. Abiria wanataka kusafiri na Millenium Coach wanaweza kukata tiketi za kupitia Temeke Mwisho, Mbagala na Ubungo. Abiria anayetaka kuanza safari yake kuanzia Temeke Mwisho tuna ukumbi wa kupumzikia kabla ya safari. Wasiliana na namba zetu za DSM 0686327222, 0655754943, 0714961738. Kwa Mtwara wasiliana kupitia 0782540016. Masasi kupitia 0784483639 / 0713150000. Na kwa abiria wanaopandia kutoka Kilambo wasiliana kupitia 0784479938.

Kwa abiria wetu wafanyabiashara ambao wanataka kusafirisha mizigo yao kuelekea mikoa ya kusini tuna tawi letu la kukusanya mizigo ya mabasi pamoja na malori. Fika ofisini kwetu Temeke Mwisho au tupigie kuwasiliana.

05/02/2016

Millenium treinador LTD tem o prazer de informar que é passageiro que está viajando para Mtwara e Masasi, Lindi & Kilambo, Tanzânia que os nossos escritórios e terminais estão em Temeke Mwisho opp do ônibus Old Temeke Mwisho. Nossa jornada começa oficialmente começa a partir de nossa Terminal em TMK onde temos um salão moderno para nossos passageiros. Nós também passar através Terminal Rodoviário Ubungo e Mbagala Chamazi. Temos por objetivo fornecer uma viagem segura e confortável para nossos passageiros, bem como dar em serviços ao cliente bordo. Para fazer reservas chamada 0686327222. Para fazer reservas em Kilambo chamada +255784479938.

https://www.facebook.com/milleniumcoach/videos/690778084356984/

Os passageiros que estão cruzando a fronteira Kilambo não se preocupar de correr para Mtwara. Millenium treinador LTD la...
05/02/2016

Os passageiros que estão cruzando a fronteira Kilambo não se preocupar de correr para Mtwara. Millenium treinador LTD lançou um ônibus que vai viajar directamente diariamente das Kilambo - Dar-es-Salaam e de Dar-es-Salaam - Kilambo Daily. Nossos horários são da DSM às 6 da manhã e da Kilambo às 11 horas. Contactar 0686327222 reservar a partir de DSM e 0784479938. Assista ao nosso vídeo para saber mais sobre nossa empresa.

https://www.facebook.com/milleniumcoach/videos/675848979183228/

Address

Temeke Mwisho, Opp Old TMK Bus Stand
Dar Es Salaam
20475

Opening Hours

Monday 06:00 - 19:45
Tuesday 06:00 - 19:45
Wednesday 06:00 - 19:45
Thursday 06:00 - 19:45
Friday 06:00 - 19:45
Saturday 06:00 - 19:45
Sunday 06:00 - 19:45

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Millenium Coach LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Millenium Coach LTD:

Share

Category